Tetesi: Kuna mlipuko wa bomu Tena nchini Kenya Leo 26/01/2019

Tetesi: Kuna mlipuko wa bomu Tena nchini Kenya Leo 26/01/2019

Uzuri tz hatunaga mahakama ya magaidi, ukipanda njugu lazima ule njugu...
 
Poleni sana majirani zetu. Hakika Mungu awaepushe na balaa la hao wanaojiita waasililamu feki..
 
Tv za Kenya zote ziko kimya mpaka sasa. Ila pole yao kama ni kweli





 
Kuna maswali ya kujiuliza hawa watu wanapataje siraha na zinaingia kwa njia ipi ivi ni kweli kwamba shabab wana viwanda vya kutengeneza siraha zao wenyewe maana wana mpaka magari ya jeshi na mizinga pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom