Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,601
Kaka Arusha ziko mbili tu japo ni za mabalozi wa kimataifa.Huwa tunawatafutia spare parts na imekuwa fursaKiongozi huwa unaleta spare hata gari zisipokuwepo nchini? Matangazo kama haya huleta mashaka ya biashara zako.