Kuna movements kwenye tumbo langu upande wa kushoto

Kuna movements kwenye tumbo langu upande wa kushoto

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
3,150
Reaction score
2,273
Kama kuna kitu kama nyoka kinatembea tumboni(kama nyoka dhaifu) upande wa kushoto na hasa wakati mtu anapokaa au kuinama(folding of stomach) ni nini?Hakuna maumivu ila 'kero'
 
Kuna vitu vingine vinavyo wasumbua binadamu ni vigumu kutambulika hata ukienda hospital madaktari wanashindwa kutambua but jibu ni moja tu mtafute JESUS maadam anapatikana,ni tatizo la kiroho zaidi mh.
 
yeeeeeeeeeeeeeeeeee nini hiki sasa
 
ni minyoo mkuu nishawah pata tatizo hilo duu huu mwili kwa magonjwa hadi sijipendi daaaa nenda kwa hosptali ukipima choo utapata majibu yote...
 
Back
Top Bottom