Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

Sawa mkuu.
Ila Kuna mwamba hapa anaitwa FRANC THE GREAT kanitajia hii evil dead akaniambia Ni mpya na wewe unaniambia Ni ya 2013 au Ina mwendelezo wake uliotoka hivi karibuni?
Maana nishaiweka kwenye priority list nilivyoambiwa Ni mpya!
Evil Dead ambayo ni mpya namaanisha ya mwaka 2013 (remake). Kuna Evil Dead nyingine ya zamani ambayo ni ya miaka ya 80.
 
Conjuring 3 tayari ipo. My list includes Conjuring chapter 1-3, Insidious chapter 1-4, The curse of lacarona, Dead Silence, Lights out, Drag me to hell, Paranormal activity, IT chapter 1, The possession, Anabell 1-3, Nightmare on helm street, The grudge, jeepers creepers part 1
 
Mirror1 &2
The boy 1 &2

Jaribu na hiziView attachment 1895395
 

Wewe lazima utakuwa wale wanaopenda horror mpaka mnakuwa hamko sawa, die hard fans maana ulivyozilist hapo [emoji1430]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…