Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kwa hio unawashauri nini hao vilaza?Nchi yetu badala ya kwenda mbele inarudi nyuma.
TAZAMA
Tanzania Zambia Mafuta (TAZAMA) PIPELINES LIMITED was incorporated in 1968 and owns and operates a finished petroleum product oil pipeline that runs through Dar-es-salaam in Tanzania to Ndola in Zambia.
Hili bomba la TAZAMA ni la mwaka 1968.
Lakini mleta mada umewazidi wamawazo wote walioko madarakani
Zambia wanasafirisha Diesel kupitia hilo bomba. So far hatujasikia hujuma.wakisafirisha mafuta safi sizani kama yatakua salama. bomba lenyewe linapita kwenye mapoli makubwa huko.
Mawazo mazuri yanahitaji watu smart Kutatekeleza na kupunguzia wanachi msingiZambia wanasafirisha Diesel kupitia hilo bomba. So far hatujasikia hujuma.
Hao wasafirisha mafuta ni wakwamishaji wakubwa. Mafuta hata yangeweza kusafiri kwa reli.Inasikitisha sana mkuu, Zamani kidogo na sisi Tanzania tulikua na Viongozi atleast walikua wanawaza beyond miaka 5 ya uchaguzi.
Imagine, 1968 waasisi hawa wanawaza na kufanya project zinazo kua viable mpaka sasa.
Ila kwakua watu fulani wao ndo wana magari ya kusafirisha mafuta, Wanaacha projects kama hzi ziwe dumped.
Wewe acha hizo, unataka malori yetu tufugie kuku!Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili liweze kisafirisha petrol pia.
Zambia inasema kuwa gharama ya kusafirisha tani moja ya mafuta imeshuka kutoka dola 170 hadi dola 49!
Kuna mikoa ya mbali na Dar kama Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe ambayo imepitiwa na bomba hili. Inawezekana kujenga storage facilicities kwenye mikoa hii na ikapata mafuta kupitia bomba hili?
View attachment 3572213
Mkuu hili suala nilikuwa najadili na mdau mmoja leo mchana.Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili liweze kisafirisha petrol pia.
Zambia inasema kuwa gharama ya kusafirisha tani moja ya mafuta imeshuka kutoka dola 170 hadi dola 49!
Kuna mikoa ya mbali na Dar kama Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe ambayo imepitiwa na bomba hili. Inawezekana kujenga storage facilicities kwenye mikoa hii na ikapata mafuta kupitia bomba hili?
View attachment 3572213
Marekani wana mabomba, bandari na malori.Wewe acha hizo, unataka malori yetu tufugie kuku!