Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili liweze kisafirisha petrol pia.

Zambia inasema kuwa gharama ya kusafirisha tani moja ya mafuta imeshuka kutoka dola 170 hadi dola 49!

Kuna mikoa ya mbali na Dar kama Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe ambayo imepitiwa na bomba hili. Inawezekana kujenga storage facilicities kwenye mikoa hii na ikapata mafuta kupitia bomba hili?
site-3.jpg
 
Nchi yetu badala ya kwenda mbele inarudi nyuma.

TAZAMA
Tanzania Zambia Mafuta (TAZAMA) PIPELINES LIMITED was incorporated in 1968 and owns and operates a finished petroleum product oil pipeline that runs through Dar-es-salaam in Tanzania to Ndola in Zambia.

Hili bomba la TAZAMA ni la mwaka 1968.

Lakini mleta mada umewazidi wamawazo wote walioko madarakani
 
Kwa hio unawashauri nini hao vilaza?
 
wakisafirisha mafuta safi sizani kama yatakua salama. bomba lenyewe linapita kwenye mapoli makubwa huko.
 
Pia Angola wanajenga Lobito Refinery. Wamewaalika Botswana na Zambia kununua hisa. Lengo lao ni kuziuzia hasa hizo nchi mafuta. Baadaye utashangaa tunaagiza mafuta ya Angola kupitia Zambia. Hapo matumizi ya bomba na storage kwenye hiyo mikoa yanaweza kuwa na manufaa sana.
 
Inasikitisha sana mkuu, Zamani kidogo na sisi Tanzania tulikua na Viongozi atleast walikua wanawaza beyond miaka 5 ya uchaguzi.

Imagine, 1968 waasisi hawa wanawaza na kufanya project zinazo kua viable mpaka sasa.

Ila kwakua watu fulani wao ndo wana magari ya kusafirisha mafuta, Wanaacha projects kama hzi ziwe dumped.
 
Hao wasafirisha mafuta ni wakwamishaji wakubwa. Mafuta hata yangeweza kusafiri kwa reli.
 
Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili liweze kisafirisha petrol pia.

Zambia inasema kuwa gharama ya kusafirisha tani moja ya mafuta imeshuka kutoka dola 170 hadi dola 49!

Kuna mikoa ya mbali na Dar kama Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe ambayo imepitiwa na bomba hili. Inawezekana kujenga storage facilicities kwenye mikoa hii na ikapata mafuta kupitia bomba hili?
View attachment 3572213
Wewe acha hizo, unataka malori yetu tufugie kuku!
 
Mkuu hili suala nilikuwa najadili na mdau mmoja leo mchana.
Acha nisome michango ya wadau hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom