M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Jan 2, 2026 #1 View: https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea kutawala
View: https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea kutawala
Choosen85 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,337 Reaction score 5,668 Jan 2, 2026 #2 Huu muungano ni upumbavu kbs ni vile tu watu hawakuwa na elimu na mwamko wa kujua ujinga ulipo kwny hiki ktuko cha nyerere na jamaa yake karume ni takataka kbs....
Huu muungano ni upumbavu kbs ni vile tu watu hawakuwa na elimu na mwamko wa kujua ujinga ulipo kwny hiki ktuko cha nyerere na jamaa yake karume ni takataka kbs....
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 Jan 2, 2026 #3 Yeyote atakayetawala Muungano uko mashakani. Misingi yake haikuwa imara. Unategemea kulindwa kwa mitutu.
Yeyote atakayetawala Muungano uko mashakani. Misingi yake haikuwa imara. Unategemea kulindwa kwa mitutu.