Kuna mpango wa teknolojia ya simu kutumia direct kwenye setelite. Je, TCRA mtaweza kuzima kilichopo juu?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote.

Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima internet likuwa jambo la kila uchaguzi unapofika.

Je TCRA mumejibangaje kufika angani na mkasi.
 
Ni bado mpango ??, au ni tech ipo tayari kwa wenye iphone 17 tunaweza itumia kukwepa lungu la kuzimwa internet.
 
Hawawezi wanachoweza kufanya ni kuzuia hizo simu zisiingie nchini, ila hawatupi presha maana leo wapo kesho hawapo!
 
Ni bado mpango ??, au ni tech ipo tayari kwa wenye iphone 17 tunaweza itumia kukwepa lungu la kuzimwa internet.
iPhone zote zinahiyo feature kuanzia pixel 9 zitakuja na hizo feature... Ila utaweza kutuma emergency message free but vingine ni paid
 
Hatua za Kumiliki Simu ya Satellite Tanzania
1. Kuomba Kibali kwa TCRA
Simu za satellite huhesabiwa kama vifaa vya mawasiliano ambavyo huangukia chini ya udhibiti wa TCRA.

Fomu ya Maombi:
Utahitaji kuwasilisha maombi rasmi kwa TCRA. Unaweza kutembelea ofisi zao au kuangalia kwenye tovuti yao rasmi kwa ajili ya fomu.

Aina ya Kibali: Kwa matumizi ya binafsi au ya biashara ndogo, utahitaji kuomba kibali cha kutumia/kumiliki kifaa cha mawasiliano ya redio (kama simu ya satellite).

Ada: Kuna ada ya maombi na ada ya kila mwaka ya leseni ambayo utahitaji kulipa. Kiasi cha ada kinaweza kubadilika

2. Kufanya Usajili wa Vifaa
Simu ya satellite unayonunua (kama vile Inmarsat, Iridium, Thuraya, n.k.) inapaswa kusajiliwa na TCRA.

Unahitaji kutoa namba ya utambulisho (IMEI au serial).

Unaweza ukahitajika kuwasilisha risiti au uthibitisho wa ununuzi wa simu hiyo ya satellite.

3. Kuzingatia Masharti ya Matumizi
TCRA inaweza kutoa leseni kwa masharti maalum kuhusu jinsi kifaa hicho kitakavyotumika, kama vile:
Masafa (Frequency): Simu za satellite hutumia masafa tofauti, na TCRA inasimamia utumiaji wa masafa hayo nchini.

Lengo la Matumizi: Ni muhimu kubainisha kwa nini unahitaji simu hiyo (mfano: usalama wa baharini, kazi za uhifadhi, usafiri, n.k.).
 
Haya masharti yalivyo mengi unakata na tamaa kabisa.
 
Asante mkuu kwa kutoa Elimu kwa Wananchi.

Lakini hizo 👆 sera na Sheria za tcra, zililenga , zile phone za setelite fully functional.

Ambazo hutumika kwa remote areas,
Sasa swali Lina kuja . Wao tcra wanawezaje ku track MTU anaye tumia setelite phones?.

Maana Sheria ina mtaka mmiliki wa hizo setelite phones kujisalimisha mwenyewe tcra , ili kufanya usajili.

Na kingine ni kwamba technology inakuwa Kwa kasi , hivi Sasa Elon musk, kupitia starlink amewezesha kuweza kutumika kwa Sim directly.

Yan 😂 unaweza ku access internet ya starlink through your phone. Just by installing starlink App on your phone.

Jitahidini kuwashauri viongozi wenu wa kisiasa namna Bora , kuongeza mapato ya serikali hence wananchi wa kawaida anakuwa na furaha na huduma anaiyopata, usalama wa huduma na bidhaa.

Cyber security (internet of things) inakuwa Kwa kasi

Hacheni TU 😂 Gen Z waandamane sio Kwa huu upumbavu wa CCM.
 
Hao nguruwe wanachoweza ni kuzuia hizo sim zisiingie nchini anyway hapo walipo vitambi vinawavuluga kwa kweli.
 
China na Russia haya mambo wameshayafikiria kwa mfano hapa: Weiterleitungshinweis

Iran inatumia hii teknolojia kufanya Starlink isifanye kazi Iran. So hizo simu zitaingia ila siku ya siku wakijisikia kuzifunga, watafunga tu.
 
Regulator lazima awe kati apo Mfano Starlink tayari ana Partenship na Airtel ili Ku facilitate hio huduma Ivo regulatory tayari lazima ambane Airtel
 
Back
Top Bottom