jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
usitegemee lolote jipya toka kwa wabunge wa CCM, kila mtu ni kufa lwake.asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika lakini hawataki kuonyesha misimamo yao hiyo kwa kuhofia kushughulikiwa.
Alienacho ataongezewa na asie kuanacho hata kile kidogo anachodhaniwa kua nacho atanyang'anywa...Ungesema kuna mnyukano wa wabunge waliopitishwa na hawakushinda kura za maoni ungeeleweka.
Machinga:
Machinga ni mchuuzi anaetembeza biashara akiwa amezishika,,, hawa wanaojenga mabanda ya chuma juu ya mitaro na kuziba njia ni wafanyabiashara.
Kiufupi machinga walidekezwa sana,
Wakaaminishwa ni wanyonge,
Akajinasibu ni mtetezi wa wanyonyonge.
Kumbe mnyonge au maskini ni mtu mjinga,
Maskini hununulika
Mungu hampendi maskini,
Alie nacho ataongezewa na asie nacho hata kile kidogo atanyang'anywa.
Maccm hata wangeuana wote kwangu mimi poa tu kwani ni zaidi ya ibilisiNi suala la muda tu.
Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa.
Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika lakini hawataki kuonyesha misimamo yao hiyo kwa kuhofia kushughulikiwa.
Pamoja na hayo, suala la Kanda fulani kutotendewa haki katika mazingira fulani ya kiutawala nalo ni moja ya sababu ya mpasuko huo.
Ni suala la muda kishindo cha mpasuko huo waja.
huo ni unafki wa kiwango cha lami peleka ujinga wako kule bavichaNi suala la muda tu.
Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa.
Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika lakini hawataki kuonyesha misimamo yao hiyo kwa kuhofia kushughulikiwa.
Pamoja na hayo, suala la Kanda fulani kutotendewa haki katika mazingira fulani ya kiutawala nalo ni moja ya sababu ya mpasuko huo.
Ni suala la muda kishindo cha mpasuko huo waja.
Kanda ndio kitu gani?! Inaamana mtu anapokosea tunaangalia kanda au tunaangalia sheria inasemaje?!Ni suala la muda tu.
Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa.
Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika lakini hawataki kuonyesha misimamo yao hiyo kwa kuhofia kushughulikiwa.
Pamoja na hayo, suala la Kanda fulani kutotendewa haki katika mazingira fulani ya kiutawala nalo ni moja ya sababu ya mpasuko huo.
Ni suala la muda kishindo cha mpasuko huo waja.
Pale lumbumba CCM hawtaki raia apaki gari lake Machinga auze so huo mpasuko upi tena? walifanya figisu hadi msomali alifunga hotel yake iliyokuwa inajaza watu na magari hadi lumumba wakafunga barabara wakaibomoa kisha wakapiga stop kujenga hadi msomali akahamisha biashara yake ndio barabara ikajengwa lami.. Machinga tatizo lao hata wao kwa wao wanasemana kuwa ilikuwa too much so wacha kwanza wapungue haswa wenye uwezo wao na wale waliofunga maduka yao wawe machinga kisha watatruhusiwa kwa utambuzi rasmi sio mtu anakuwa tajiri and then anaendelea kuwa Machinga no no no... na umachinga sio kujenga mabanda machafu machafu eneo lolote tu la wazi hadi kwenye maduka ya wanaolipa kodiNi suala la muda tu.