Kuna msanii anachukuliwa poa Tanzania kama Micky Singer?

Kuna msanii anachukuliwa poa Tanzania kama Micky Singer?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Kuna huyu msanii anaitwa Micky Singer

Ana nyimbo kali sana.

Kuna
  • Wanijue
  • Naroga
  • Mama Wee
  • Nobody
Na nyinginezo nyingi

micky_singer_1773494305_3852669909062913445_1954837946.jpg
 
Sio kwamba anachukuliwa poa ila ana wasikilizaji wake ambao wanamfahamu yeye km yeye, wapo wasanii weengine wengi ambao hata wewe ukitajiwa utasema huyu mimi simjui

Mfano juzi hapa wakati nasikiliza kipindi fulani, na kufuatilia mahojiano ya Mad Ice na presenters fulani nikamsikia Mad Ice anamsifia msanii mmoja ambae mimi sijawahi kumsiikia popote akitajwa ndio nikamsikia yeye akimtaja kwa mara ya kwanza, kiufupi huyo msanii hata ningeambiwa ningeuliza ndio msanii gani sababu simjui, kuna wasanii ambao wapo kwenye platform sasa wanatambulika na yoyote ukimtaja msanii mfano Maua Sama au Abby Chams, hakuna mtu asiewafahau hata kwa uchache tu, sababu nini? Sababu wameshafahamika na wameshaweza kukita mizizi yao kwenye muziki kwa kipindi kirefu
 
DIZASTA VINA anajua sana yule jamaa ,ana fikra tunduizi, lugha fasihi, story teller anakupa na funzo ndani ila watu hajampa sikio la ndani kumuelewa "Muscular Women" "Shahidi" "Hatia 1, 3, 4, 5) "Not the Hero" "Tatuu ya Asili" "Confession of the Mad man" " Confession of the Mad Father" "Utaliimba jina langu" "Theluji" hizi ni baadhi tu ya nyimbo zake Kali zenye mafunzo makubwa
 
Naona umeamua kuja kujipakulia minyama huku weka audio hata Moja watu wasikilize.
 
Back
Top Bottom