Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
JobTrueTrue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa na hio siri.. ufurahie
Mkuu since you want me to be wise let me give you a piece of advice wanaume hatuandikagi kode za kuja kufunguliwa na watu aisee hizo ni tabia za kike ( ukikasirika sawa), code pekee wanaume wanaandikaga ni hizi za programming. Unaandika mambo ya udaku and na unataka wanaume tusapoti yan tuwe tunapiga umbeya kama kina zuchu na kina mange kimambi and the likes masta ?. I swear to God mwanamke wako akijua we ndio mfunga code alafu wanawake ndio waje kuzifungua atashangaa sana, wanaume huwa tuna vitu vyetu, tunaangaliaga mpira, tunabishana siasa, tunasimuliana vita ya israel, we lift weight, tunasimuliana magari, nyumba na vitu kama hivyo mkuu, haya mambo ya kufungua kode kama sio za java, php, python na the likes waachie kina dada mzee.Learn to be wise nimewapa tu Code hayo mambo ya ushoga usinizoee kabisaa.
Asipofata ushauri wako atakuwa na matatizo ya akiliMkuu since you want me to be wise let me give you a piece of advice wanaume hatuandikagi kode za kuja kufunguliwa na watu aisee hizo ni tabia za kike ( ukikasirika sawa), code pekee wanaume wanaandikaga ni hizi za programming. Unaandika mambo ya udaku and na unataka wanaume tusapoti yan tuwe tunapiga umbeya kama kina zuchu na kina mange kimambi and the likes masta ?. I swear to God mwanamke wako akijua we ndio mfunga code alafu wanawake ndio waje kuzifungua atashangaa sana, wanaume huwa tuna vitu vyetu, tunaangaliaga mpira, tunabishana siasa, tunasimuliana vita ya israel, we lift weight, tunasimuliana magari, nyumba na vitu kama hivyo mkuu, haya mambo ya kufungua kode kama sio za java, php, python na the likes waachie kina dada mzee.
Hii komenti imekaa ki-gentlemen sanaMkuu since you want me to be wise let me give you a piece of advice wanaume hatuandikagi kode za kuja kufunguliwa na watu aisee hizo ni tabia za kike ( ukikasirika sawa), code pekee wanaume wanaandikaga ni hizi za programming. Unaandika mambo ya udaku and na unataka wanaume tusapoti yan tuwe tunapiga umbeya kama kina zuchu na kina mange kimambi and the likes masta ?. I swear to God mwanamke wako akijua we ndio mfunga code alafu wanawake ndio waje kuzifungua atashangaa sana, wanaume huwa tuna vitu vyetu, tunaangaliaga mpira, tunabishana siasa, tunasimuliana vita ya israel, we lift weight, tunasimuliana magari, nyumba na vitu kama hivyo mkuu, haya mambo ya kufungua kode kama sio za java, php, python na the likes waachie kina dada mzee.
👍👍👍👍
👍👍👍👍Asipofata ushauri wako atakuwa na matatizo ya akili
Umesahau C++ na visual basic mkuuMkuu since you want me to be wise let me give you a piece of advice wanaume hatuandikagi kode za kuja kufunguliwa na watu aisee hizo ni tabia za kike ( ukikasirika sawa), code pekee wanaume wanaandikaga ni hizi za programming. Unaandika mambo ya udaku and na unataka wanaume tusapoti yan tuwe tunapiga umbeya kama kina zuchu na kina mange kimambi and the likes masta ?. I swear to God mwanamke wako akijua we ndio mfunga code alafu wanawake ndio waje kuzifungua atashangaa sana, wanaume huwa tuna vitu vyetu, tunaangaliaga mpira, tunabishana siasa, tunasimuliana vita ya israel, we lift weight, tunasimuliana magari, nyumba na vitu kama hivyo mkuu, haya mambo ya kufungua kode kama sio za java, php, python na the likes waachie kina dada mzee.
Samahani mkuu, hapo kwenye dp ni wewe?Niffah Nifah anasemaje kwani
😂😂😂😂😂😂😂😂Umesahau C++ na visual basic mkuu
Kunywa bia utulie kijana, bongo fleva ni usanii tosha kama bongo movie tu.....ule si muziki wa maana.Habari nikuwa mda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii Flani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzako na kutopewa promo na push ya kutosha kusambaza kazi zake hapa nchini hivyo kumkwamisha kimaendeleo.mpaka sasa bado kuna mazungumzo huku label ikisisitiza Hawezi ondoka bila kulipa hela. Huku upande wa msanii unadai hawezi toa hela kwani hakugharamiwa kama jinsi mkataba wake unavyosema. [emoji22] kwa staili hii hakuna mziki utakaoendelea hapa bongo.....
Lava Lava [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UPDATE:Ni kwamba huyo msanii now yupo njiani kuelekea kwenye show yake Moja huko mkoani lakini watu wake bado wanadiscuss na management kuhusu hili swala Inasemekana ni kwamba label hiyo haikutekeleza kilichokubaliwa katika mkataba wake. Mfano ni idadi ya nyimbo anazoruhusiwa kutoa kwa mwaka,Kiasi cha promotion anayopaswa kufanyiwa na label hiyo na maeneo anayoruhusiwa kwenda msanii huyo ikiwemo watu anaotakiwa kuonana nao ama kuwashirikisha kwenye kazi zake.lakini pia inasemekana kwenye maokoto yake alikuwa halipwi vzri na label hiyo yaani pesa yake haioni. Sasa management wanataka awalipe ndo wamruhusu asepe lakini yeye amekomaa kwamba hapaswi kutoa dau lolote kwani uongozi huo umekiuka makubaliano ya mkataba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni huyo kwenye avatar yako kwani ni msanii ana [emoji440] [emoji956] moja kaigiza ya Royal Tour na nyingine amesema ataitoa muda si mrefu kaigiza na wachina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahYan imagine kuna mwanamke anakuta bwana ake kaleta story ina mandhari za story za mange kimambi aisee, we are guys we talk about football, wrestling, war, How Jay stopped dealing and became successful in music lakin sio mambo ya kufungua kode, sio kwa ubaya ila what if he is a guy na ana mke na mke wake aje kujua ye ni mfunga code ili mashoti wazifungue aaah sio poa aisee…
Kwan umeitwaa hapa? Mbna una makasiriko sana LolMkuu since you want me to be wise let me give you a piece of advice wanaume hatuandikagi kode za kuja kufunguliwa na watu aisee hizo ni tabia za kike ( ukikasirika sawa), code pekee wanaume wanaandikaga ni hizi za programming. Unaandika mambo ya udaku and na unataka wanaume tusapoti yan tuwe tunapiga umbeya kama kina zuchu na kina mange kimambi and the likes masta ?. I swear to God mwanamke wako akijua we ndio mfunga code alafu wanawake ndio waje kuzifungua atashangaa sana, wanaume huwa tuna vitu vyetu, tunaangaliaga mpira, tunabishana siasa, tunasimuliana vita ya israel, we lift weight, tunasimuliana magari, nyumba na vitu kama hivyo mkuu, haya mambo ya kufungua kode kama sio za java, php, python na the likes waachie kina dada mzee.
yule aliyeimbwa na dula makabila kwamba hata aimbe vipi haonekaniNi Nani?
MBONA HUYO MZANZIBAR LEBO IMEMBEBA SANA.Sio magma magma kweli?