Mia saba JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 255 Reaction score 390 Mar 20, 2022 #1 Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,323 Mar 26, 2022 #2 bado tupo safarin, ubaya kituo cha kushuka hatukijui ndio tunasafiri njia hii mara ya kwanza