Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

Emmanuel180

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
342
Reaction score
626
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada

Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin

Unahisi labda mazoea yataisha lakn waap tena akikukuta mahal hvo hvoo inooooo mambo halafu ukitia vocal ana chomoa

Hiiii ni nini au ni tabia tu mtu yuko hvo maana sisi wengine tunafikiriaga ni shobo mtoto kakueleewa sasa unajaribu bahat kwenda sawa anatoa nje

Eti JAMIII MAPENZ?[emoji16][emoji1787]
 
Umenikumbusha Mzee mi kuna mmoja... mpaka wash wanajua ni Demu wangu namega kisela aisee ....
....Maaana tukikutana mpka mikumbatio ya kinyamweziii...tabasam kama loote....anachangamka xana lakn huwezi amini nimefukuziaa xana anachomoaaaaaaaa Dadekii xijui shida hua iko wap aiseeee
 
Cjui wanakuaga vp[emoji1787][emoji1787]
 
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada

Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia Innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin

Unahisi labda mazoea yataisha lakn waap tena akikukuta mahal hivyoo hivyo Inooooo mambo halafu ukitia vocal ana chomoa

Hiiii ni nini au ni tabia tu mtu yuko hvo maana sisi wengine tunafikiriaga ni shobo mtoto kakueleewa sasa unajaribu bahat kwenda sawa anatoa nje

Eti JAMIII MAPENZ?[emoji16][emoji1787]
 
Mimi nachukia tu akiniita Mpendwa au Kaka na wakati Mimi c kaka yake na ukimpiga sound anakuwa hayupo kbs huko na hakati mazoea
 
Akili zako kama timbulo aisee We hovyo sana watu kama hao hawatongozwi atakuona Mmatumbi tu😆😆😆
 
Mara yangu ya kwanza nafika ughaibuni. Yaani kila demu ninayekutana naye mchangamfu balaa ananitabasamia tu na hai za kumwaga pale campus. Nikawa najisemea hawa wazungu nitawapelekea moto mpaka waombe poo. Kuja kugundua kumbe ndo kawaida yao dah!

Hata kwetu watoto wengi wa kishua wako hivyo. Very charming and friendly. Jaribu kumtongoza sasa hutaamini yaani [emoji16][emoji16]
 
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada

Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia Innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin

Unahisi labda mazoea yataisha lakn waap tena akikukuta mahal hivyoo hivyo Inooooo mambo halafu ukitia vocal ana chomoa

Hiiii ni nini au ni tabia tu mtu yuko hvo maana sisi wengine tunafikiriaga ni shobo mtoto kakueleewa sasa unajaribu bahat kwenda sawa anatoa nje

Eti JAMIII MAPENZ?[emoji16][emoji1787]
Tusiwe tunawaita maan mshahamia kweny majina jamani..... Sema nyie tunaowaita ita ndo hua ampo mioyoni mwetu lkn wale wengine wale lbd ndo wangeongea
 
utakuwa unafanana na madenge au 900 itapendeza

sa liakili lako linajiset vinginee
 
Alafu Msichana ambaye anakuchangamkia na hujamtongoza mara nyingi Hana hisia na wewe, ndio maana anahiyo Confidence ya kukuchangamkia wengine mpaka kukutania.

Mwanamke akiwa anavutiwa na wewe anakosa kujiamini
Kaka hapo nafikiri umezungumzia wanawake wenye aibu ndo huwa wanafanya hivyo lakini kuna wanawake wako na confidence anakuchangamkia, anakutania, kabla haujamtongoza na akawa anakupenda vile vile.
 
Back
Top Bottom