Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

Kaka hapo nafikiri umezungumzia wanawake wenye aibu ndo huwa wanafanya hivyo lakini kuna wanawake wako na confidence anakuchangamkia, anakutania, kabla haujamtongoza na akawa anakupenda vile vile.

Wanawake wote wanaaibu, hiyo ni moja ya sifa ya Msingi ya mwanamke,

Narudia, mwanamke ambaye hakupendi au Hana hisia Kali na wewe lazima awe na confidence za kukuchangamkia na matani ya hapa na Pale.

Mwanamke hajiamini Kwa mwanaume anayempenda au anayevutiwa naye Sana.

Aibu ipo iliyopitiliza na aibu ya kawaida.
Wanawake karibu wote Duniani Wana Aibu, ingawaje wapo wenye aibu zilizopitiliza
 
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada

Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin

Unahisi labda mazoea yataisha lakn waap tena akikukuta mahal hvo hvoo inooooo mambo halafu ukitia vocal ana chomoa

Hiiii ni nini au ni tabia tu mtu yuko hvo maana sisi wengine tunafikiriaga ni shobo mtoto kakueleewa sasa unajaribu bahat kwenda sawa anatoa nje

Eti JAMIII MAPENZ?[emoji16][emoji1787]
Huyo sio wa voko ni vitendo tu. Vuta geto chapa mti
 
Andaa bajeti ndogo, umtoe 'out' nje ya mkoa/wilaya, mengine utayamaliza huko huko usingizini
 
Back
Top Bottom