Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

Kaka hapo nafikiri umezungumzia wanawake wenye aibu ndo huwa wanafanya hivyo lakini kuna wanawake wako na confidence anakuchangamkia, anakutania, kabla haujamtongoza na akawa anakupenda vile vile.

Wanawake wote wanaaibu, hiyo ni moja ya sifa ya Msingi ya mwanamke,

Narudia, mwanamke ambaye hakupendi au Hana hisia Kali na wewe lazima awe na confidence za kukuchangamkia na matani ya hapa na Pale.

Mwanamke hajiamini Kwa mwanaume anayempenda au anayevutiwa naye Sana.

Aibu ipo iliyopitiliza na aibu ya kawaida.
Wanawake karibu wote Duniani Wana Aibu, ingawaje wapo wenye aibu zilizopitiliza
 
Huyo sio wa voko ni vitendo tu. Vuta geto chapa mti
 
Andaa bajeti ndogo, umtoe 'out' nje ya mkoa/wilaya, mengine utayamaliza huko huko usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…