Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

Kama umeshafika Arusha, ulizia wenyeji wakupeleke Mrina Pub au Shivers, zote ziko jirani tu Kaloleni hapo. Hapo ni pochi lako tu, huhitaji kusubiria PM huku mtandaoni. Angalizo ni kuwa pale 'ngoma' a.k.a 'mdudu' a.k.a 'mgeni' iko kwa kiwango cha karibia 100%. Uamuzi ni wako, ukitaka kujilipua mzuka tu, hamna noma wala nini, yani kifupi ni wewe tu na roho yako mwana.
 
well... well... well... Hivi alikuja kutoa feedback au?
 
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.

msichana wako wa sikuzote unamwachia nani?. Naomba uniachie mimi,nami nitakuelekeza kwa small hausi utapata mapokezi mazuri.
 
Back
Top Bottom