Tetesi: Kuna mstaafu mashuhuri atalamba teuzi na kuapishwa

Tetesi: Kuna mstaafu mashuhuri atalamba teuzi na kuapishwa

Hv sasa ni saa 1:24 pm napenda kumpongeza Dk. Samia kwa kutukatia umeme bila taarifa watanganyika wa wilaya ya KINO.Endelea tu.


KAZI ni kipimo cha UTU
Ikitokea umeme umewaka wiki nzima bila kukatika najiunga na chama Cha mapinduzi (Ila sijui Ni mapinduzi ya rushwa au wizi wa pesa za umma)
 
Ili hali kuna vijana wapo tuuu wakisubiri teuzi

Tufanye kazi vijana ni taifa la kesho
 
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
Asante kwa taarifa Mzee wa Twitter ngoja niandae suti yangu ninaweza kuwa mimi😁
 
Jibu limepatikana. Ni yule yule aliyekua mkuu wa wilaya katili Kama bar-shit ambaye asamehewa dhambi zake zote mpaka za kuumiza watu wasiokua na hatia baada ya kutubu kanisa la michongo makuburi.
 
Back
Top Bottom