Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .Acha wapumzike man. Wamemaliza hizi tabu let them rest aisee.
Mi nife hafu mtu anitafute online aisee nitamshushia matusi na vitisho hadi ajiue.
Je kua mtaalam yupi aliye Dar ana weza ongea na wapendwa walio tangulia mbele za haki?
Unamdai? Au unataka akupe namba za siri za MPESA?😂😂Hahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .
Ninaumia sana natamani niongee na mpwendwa wanguHawapo hao
Hapana , yani nimaumia sana natamani nimwambie nampenda sikumuonyesha upendo si kwamba nili mignore ila sikuwahi mtamkia kwamba nampenda.Unamdai? Au unataka akupe namba za siri za MPESA?😂😂
Nashindw elewa nifanye nini nina umia sanaYeye hajakumiss kwann asikufate
Unajua jina la hiy kitabu ?Nenda z3nji duka la vitabu kuna kitabu kimoja kina picha ya simba ameshika upanga .kanunue tafuta mganga akufundishe
Apana kiongozi icho kitabu alinipatia rafiki angu nikiifadhi tukiwa secondary kuna siku home mpangaji alitembelewa na mjomba wake ambae ni mganga nikamuonyesha kile kitabu akakiomba atoe copy mpaka leo sijakipata.Unajua jina la hiy kitabu ?
Acha bro. Imagine wewe umechoka knm hafu umelala mtu anakuamsha afu anakuambia nimekumiss mzee, mambo vipi?Hahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .
😂😂😂😂Acha bro. Imagine wewe umechoka knm hafu umelala mtu anakuamsha afu anakuambia nimekumiss mzee, mambo vipi?
Duh , asante sana aiseeApana kiongozi icho kitabu alinipatia rafiki angu nikiifadhi tukiwa secondary kuna siku home mpangaji alitembelewa na mjomba wake ambae ni mganga nikamuonyesha kile kitabu akakiomba atoe copy mpaka leo sijakipata . Kile kitabu kilikuwa kinamaajabu sana tupo form 1 rafiki aliwatembezea moto madada wa form 3 na 4 mpaka dada mkuu ila jamaa ni mwanajeshi kila siku anakiulizia icho kitabu namjibu kipo asiwe na wasi
Si bora ajue ana pendwaAcha bro. Imagine wewe umechoka knm hafu umelala mtu anakuamsha afu anakuambia nimekumiss mzee, mambo vipi?
Kama haukumuonesha akiwa hai, hiyo guilty onesha kwa waliobakia Dunia.Si bora ajue ana pendwa
Huyu nilimuonyesha upendo ila sikuwahi mtamkia sasa najiuliza je alijua nina mjali na kumpenda au je alijua nilitimiza tuu wajibu wangu wa kumhudumia tuu na si kwamba nampenda?Kama haukumuonesha akiwa hai, hiyo guilty onesha kwa waliobakia Dunia...