Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Huwezi labda kupitia ndoto utamuota Ila sio hio njia unavyotaka kuitumiaHahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi labda kupitia ndoto utamuota Ila sio hio njia unavyotaka kuitumiaHahahaha nimepoteza mpendwa wangu, ninatamani niongee naye angalau mara moja .
Siku 40 anakua bado yupo around?Ndani ya siku 40 huwa rahisi sana hiki unachotaka. Ila baada ya hapo kasheshe
We muombee apumzike kwa amaniHuyu nilimuonyesha upendo ila sikuwahi mtamkia sasa najiuliza je alijua nina mjali na kumpenda au je alijua nilitimiza tuu wajibu wangu wa kumhudumia tuu na si kwamba nampenda?
Haya maswali yananiumiza sana kwasababu nilimpenda kwa moyo wote ila sikumuonyesha wala kumtamkia .
TapeliYupo Mwanza nifate pm nikwambie au basi ngoja nimtaje Kwa faida ya wengi Anaitwa Zumaridi.
1:16 AM unaulizia mtu wa kuongea na mfu?? [emoji848] acha ulozi we jamaa [emoji16]Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
Siku 40 za kwanza nafsi huwa ipo around.. ni spiritual protocal, ndio maana ndani ya hizo siku kuna visa vingi wapendwa kumuona hata kwa ndoto au ku feel presence yake kwa wakati flaniSiku 40 anakua bado yupo around?
Labda ajaribu hio njia ya siku 40 km atawezaSiku 40 za kwanza nafsi huwa ipo around.. ni spiritual protocal, ndio maana ndani ya hizo siku kuna visa vingi wapendwa kumuona hata kwa ndoto au ku feel presence yake kwa wakati flani
Kama yupo ndani ya hizo siku, nje ya hapo ni kuita roho aliyokuwa anatembea nayoLabda ajaribu hio njia ya siku 40 km ataweza
Hapo sawa nmekuelewa mkuu,Kama yupo ndani ya hizo siku, nje ya hapo ni kuita roho aliyokuwa anatembea nayo
Wengi wakisikia neno 'demon' wanaogopa sana, Ila ukijaribu kujiuliza spirit flani anaitwa demon under which context...??? Ni kwamba kwa mtu flani huyo spirit atakuwa demon Ila kwa mwingine ni helping spirit. Iyo ni topic nyingine...
Tukirudi kwenye ishu ya kuwasiliana na walioondoka kwenye ulimwengu huu, sikushauri ufanye hivyo na sababu kubwa ni kwamba roho zilizopo kwemye huo mkondo ni sumbufu sana na inahitaji mtu mwenye maarifa ya kutosha kukusaidia kufanya hilo na umakini wa hali ya juu unahitajika kiasi kwamba uki mess up kidogo tu unakuwa umekaribisha series ya matatizo kwenye maisha yako na maranyingine unaweza kujimaliza (kujiua) na wewe kutokana na ushawishi wa hizo roho.
Kwahiyo mkuu just take it easy na amini kuwa amesha kusikia na ameijua nia yako njema na pia ni kwamba anashindwa kukuzuia usifikie kwenye hiyo hatua unayotaka kuichukua kwasababu senses zako hazijafunguka vya kutosha kuweza kuipokea hiyo msg kutoka kwake.
Kuna siku nitaweka thread itakayoelezea maarifa Kama hayo na mengine pia.
I'm out... Take care of yourself mkuu.
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri, kiukweli bado natamani niweze fanikiwa kuogea naye na nimekua kama sijielewi kabisa kwasababu ya maumivu niliyo nayo ,sijui nifanye nini , naweza ongea na wewe kwa simu kama hautajali?Wengi wakisikia neno 'demon' wanaogopa sana, Ila ukijaribu kujiuliza spirit flani anaitwa demon under which context...??? Ni kwamba kwa mtu flani huyo spirit atakuwa demon Ila kwa mwingine ni helping spirit. Iyo ni topic nyingine...
Tukirudi kwenye ishu ya kuwasiliana na walioondoka kwenye ulimwengu huu, sikushauri ufanye hivyo na sababu kubwa ni kwamba roho zilizopo kwemye huo mkondo ni sumbufu sana na inahitaji mtu mwenye maarifa ya kutosha kukusaidia kufanya hilo na umakini wa hali ya juu unahitajika kiasi kwamba uki mess up kidogo tu unakuwa umekaribisha series ya matatizo kwenye maisha yako na maranyingine unaweza kujimaliza (kujiua) na wewe kutokana na ushawishi wa hizo roho.
Kwahiyo mkuu just take it easy na amini kuwa amesha kusikia na ameijua nia yako njema na pia ni kwamba anashindwa kukuzuia usifikie kwenye hiyo hatua unayotaka kuichukua kwasababu senses zako hazijafunguka vya kutosha kuweza kuipokea hiyo msg kutoka kwake.
Kuna siku nitaweka thread itakayoelezea maarifa Kama hayo na mengine pia.
I'm out... Take care of yourself mkuu.
Asante sana , kweli apitia wakati mgumu sana namaumivu makali sana moyoni ,kila wakati nafikiria kukata tamaa kabisa.Sijui unapitia Nini..ila pole mpendwa.
Kweli unacho sema natakiwa umakini sana .unataka kutapeliwa tu wewe
Nasikitika sana zimesha pita na kweli hata kumuota simuoti tena kwa siku hziiNdani ya siku 40 huwa rahisi sana hiki unachotaka. Ila baada ya hapo kasheshe
nje ya hapo, unaweza ita roho iliyokuwa ambayo inafatana nae inafanana nae 100%.. ila anakuwa sio yeye ila anakuwa anajua kila kitu kuhusu marehemuNasikitika sana zimesha pita na kweli hata kumuota simuoti tena kwa siku hzii
Bulogwa ni wapi? Asante sanaYupo Bulongwa anaitwa Bujibuji Simba Nyamaume q
Ndio wanaita Kimvuli chake?nje ya hapo, unaweza ita roho iliyokuwa ambayo inafatana nae inafanana nae 100%.. ila anakuwa sio yeye ila anakuwa anajua kila kitu kuhusu marehemu