Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Huyu nilimuonyesha upendo ila sikuwahi mtamkia sasa najiuliza je alijua nina mjali na kumpenda au je alijua nilitimiza tuu wajibu wangu wa kumhudumia tuu na si kwamba nampenda?

Haya maswali yananiumiza sana kwasababu nilimpenda kwa moyo wote ila sikumuonyesha wala kumtamkia .
We muombee apumzike kwa amani
 
Wengi wakisikia neno 'demon' wanaogopa sana, Ila ukijaribu kujiuliza spirit flani anaitwa demon under which context...??? Ni kwamba kwa mtu flani huyo spirit atakuwa demon Ila kwa mwingine ni helping spirit. Iyo ni topic nyingine...

Tukirudi kwenye ishu ya kuwasiliana na walioondoka kwenye ulimwengu huu, sikushauri ufanye hivyo na sababu kubwa ni kwamba roho zilizopo kwemye huo mkondo ni sumbufu sana na inahitaji mtu mwenye maarifa ya kutosha kukusaidia kufanya hilo na umakini wa hali ya juu unahitajika kiasi kwamba uki mess up kidogo tu unakuwa umekaribisha series ya matatizo kwenye maisha yako na maranyingine unaweza kujimaliza (kujiua) na wewe kutokana na ushawishi wa hizo roho.

Kwahiyo mkuu just take it easy na amini kuwa amesha kusikia na ameijua nia yako njema na pia ni kwamba anashindwa kukuzuia usifikie kwenye hiyo hatua unayotaka kuichukua kwasababu senses zako hazijafunguka vya kutosha kuweza kuipokea hiyo msg kutoka kwake.

Kuna siku nitaweka thread itakayoelezea maarifa Kama hayo na mengine pia.

I'm out... Take care of yourself mkuu.
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri, kiukweli bado natamani niweze fanikiwa kuogea naye na nimekua kama sijielewi kabisa kwasababu ya maumivu niliyo nayo ,sijui nifanye nini , naweza ongea na wewe kwa simu kama hautajali?
 
Back
Top Bottom