Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

We muombee apumzike kwa amani
Nimemwombea , nime fanya kila kitu, ila najiuliza kama alitambua kwamba nampenda na kumjali na je alikua na furaha na uwepo wagu , yani kuna mengi yali tokea kukaribia lipo fariki ambayo najiuliza je alijua kama niko naye bega kwa bega na anajua sikumtupa , yani na lia kila saa kwa maumivu nayo yapata .
 
Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
Ni hatari kuongea na “wafu”, kwani huwa ni demonic impersonation inafanyika na kupelekea udanganyifu mkubwa wenye madhara. Usijaribu.
 
Dah asante sana , yani naumia sana ila nijitahidi ni kubali ukweli huu
Njia bora kuliko hio unayotafuta ni;

1) Toa Sadaka kwa niaba yake, sadaka nzuri zaidi ni kwa watoto yatima au mafukara. Tena wakati unatoa hio sadaka unasema ndani ya moyo wako "Eh mungu, natoa sadaka hii kwa niaba ya mpendwa wangu flani alietangulia kwako, naomba msamehe makosa yake aliofanya akiwa hai na umuongezee mema yake aliofanya akiwa hai. Na mjaalie awe katika watu wa peponi"

Huko alipo, anapewa taarifa na malaika fulani amekutolea sadaka na amekuombea kwa mungu haya na haya na haya.

NB: Sadaka sio lazima iwe yenye gharama kubwa au ya kifahari, sadaka inaweza ikawa hata Sh 100 au Sh 500 kutokana na uwezo wako. Inaweza hata ikawa mfuko mmoja wa pipi au biskuti ukawagawia watoto yatima. Kinachoangaliwa mbele ya mungu, ni ile furaha ya wale watoto yatima/fukara ndio wema anaolipwa mpendwa wako huko alipo.

2) Mfanyie ibada au maombi/dua. Huko alipo anapata taarifa fulani anakufanyia ibada au maombi/dua.

● Kila jambo zuri/jema utakalofanya kwa "niaba yake", yeye huko alipo anapewa taarifa na malaika kuhusiana na hicho unachomfanyia.

● Na baada ya muda, ukimfanyia hayo mara kadhaa huwa wapendwa waliotangulia mbele ya haki wanakuja kwa njia ya ndoto, either kushukuru hayo mema unayomfanyia au huja na kuonesha tabasamu zuri bila kuongea chochote (tabasamu likimaanisha ana furaha/radhi na wewe). Ukiwa mtu wa mungu sana, basi akija anaweza akaongea na wewe kwa muda mrefu pia.

☆ ☆☆ Njia hizo mara nyingi hushauriwa watu ambao "wamepoteza mzazi au wazazi". Wazazi hao wakiwa wametangulia mbele ya haki wakiwa "hawako radhi" na huyo mtu. So, anashauriwa kufanya hayo ili apate radhi zao hao wazazi wake kutoka huko waliko!
 
Njia bora kuliko hio unayotafuta ni;

1) Toa Sadaka kwa niaba yake, sadaka nzuri zaidi ni kwa watoto yatima au mafukara. Tena wakati unatoa hio sadaka unasema ndani ya moyo wako "Eh mungu, natoa sadaka hii kwa niaba ya mpendwa wangu flani alietangulia kwako, naomba msamehe makosa yake aliofanya akiwa hai na umuongezee mema yake aliofanya akiwa hai. Na mjaalie awe katika watu wa peponi"

Huko alipo, anapewa taarifa na malaika fulani amekutolea sadaka na amekuombea kwa mungu haya na haya na haya.

NB: Sadaka sio lazima iwe yenye gharama kubwa au ya kifahari, sadaka inaweza ikawa hata Sh 100 au Sh 500 kutokana na uwezo wako. Inaweza hata ikawa mfuko mmoja wa pipi au biskuti ukawagawia watoto yatima. Kinachoangaliwa mbele ya mungu, ni ile furaha ya wale watoto yatima/fukara ndio wema anaolipwa mpendwa wako huko alipo.

2) Mfanyie ibada au maombi/dua. Huko alipo anapata taarifa fulani anakufanyia ibada au maombi/dua.

● Kila jambo zuri/jema utakalofanya kwa "niaba yake", yeye huko alipo anapewa taarifa na malaika kuhusiana na hicho unachomfanyia.

● Na baada ya muda, ukimfanyia hayo mara kadhaa huwa wapendwa waliotangulia mbele ya haki wanakuja kwa njia ya ndoto, either kushukuru hayo mema unayomfanyia au huja na kuonesha tabasamu zuri bila kuongea chochote.
Asante sana , nitafanya hayo , ila ukweli ndio naanza ona kama kwlei kfariki na naona kama msiba ndio nauanza rasmi , nakushukuru sana , nina umia sana ila na jitahidi ni Shukuru Mungu kwa kila jambo
Samahani kwa swali hili , naomba kuuliza mfano nikienda pale kaburini na kumwambia maneno ,je anaweza sikia huko alipo? Dua huwa n fanya kumuombea ila tuko dini tofauti ila huwa najitahidi kufuata dini yake iavyo omba dua, huwa kuna mtu wa dini anakuwepo hapo yeye ndio huongeza dua pale napo kuwa kaburii kwake , yeye ni Mwislamu .
 
Ila kufa nako hakuna kumpuzika. Bado kuna watu wanataka wakusemeshe. Dah!
Hata mimi nikafikiria hilo , ila nikajiulzia ana wezaje pumzika kama kaondoka akiamini yuko mpweke ? Ila nadhani nimechangnyikiwa akili tuu baada ya pigo hili najiona kama siku jitoa kwake sana , wakati kila mtu ana nipa shukrani , lakini mimis i feel kama nilijitoa naona kama labda hata hakujua kama nampenda na nimejitoa kwake, na hilo ndio lina niua sana natamani niumuulze kama ali jua hilo kwamba nampenda sana kulikoa kitu chohcote duniani , yeye ndio alikua no 1 love , nashindw kufikiria amsiha bila yeye , na nina umia sana sana sana kwa sasa
 
Hapa nikuvaa earpods na kuweka volume mpaka mwisho.
 
Asante sana , nitafanya hayo , ila ukweli ndio naanza ona kama kwlei kfariki na naona kama msiba ndio nauanza rasmi , nakushukuru sana , nina umia sana ila na jitahidi ni Shukuru Mungu kwa kila jambo
Samahani kwa swali hili , naomba kuuliza mfano nikienda pale kaburini na kumwambia maneno ,je anaweza sikia huko alipo? Dua huwa n fanya kumuombea ila tuko dini tofauti ila huwa najitahidi kufuata dini yake iavyo omba dua, huwa kuna mtu wa dini anakuwepo hapo yeye ndio huongeza dua pale napo kuwa kaburii kwake , yeye ni Mwislamu .
Dua/Maombi huwa haina dini, hata kama dini tofauti ilimradi ni binaadamu hai kumwombea mtu alietangulia mbele ya haki humfikia na husikia dua hio.

Kwa waislamu; mtu akishazikwa tu kwenye kaburi, anaanza kusikia kila kitu kinachoendelea juu ya kaburi, anasikia mpaka miguu ya watu wanavoanza kuondoka na kwenda zao, anawasikia. Sambamba na kuwasikia hata wanavomlilia (Ndio maana huwa wanaambiwa sio vizuri kulia sana kwani mfu anasikia! Kitu ambacho hawezi kufanya ni kusogeza viungo vyake na kuongea na kuvuta pumzi!
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri sana , katika hangaika zangu kutaka kujua kama mpendwa anaweza sikia nili apta habari kwamba kuna Swahaba kipindi cha Mtume ali kwenda kaburini , kitu kama alilalia kaburi au ali busu kabisri ( sina uhakika) wengine wakashangaa, wakaambiwa kwamba Marehemu ana sikia kwa masikio yenye uwezo mkubwa kushinda tulio nayo , hivyo na umenijibu hivyo napata amani kwamba nikenda pale Kaburini nifanye kitu sahihi kwa dua kw akumuombea na kutoa sadaka na pia nimpigishe story .nataka nimwambie nampenda sana na nilikua naye bega kwa bega na nitaendelea kumpenda daima . Nashukuru sana , maana sasa atajuta maana nikiaza mpigisha story nadhani atachoka na mpaka ata pjaribu kupiga miayo maana huwa kama simalizi ,lol , na jisikia kama kesho fasta niende pale Kaburini nikaongeee naye na kumuombea dua . I hope sitakua nime kufuru .
Nashukuru sana sana.
 
Wengi wakisikia neno 'demon' wanaogopa sana, Ila ukijaribu kujiuliza spirit flani anaitwa demon under which context...??? Ni kwamba kwa mtu flani huyo spirit atakuwa demon Ila kwa mwingine ni helping spirit. Iyo ni topic nyingine...

Tukirudi kwenye ishu ya kuwasiliana na walioondoka kwenye ulimwengu huu, sikushauri ufanye hivyo na sababu kubwa ni kwamba roho zilizopo kwemye huo mkondo ni sumbufu sana na inahitaji mtu mwenye maarifa ya kutosha kukusaidia kufanya hilo na umakini wa hali ya juu unahitajika kiasi kwamba uki mess up kidogo tu unakuwa umekaribisha series ya matatizo kwenye maisha yako na maranyingine unaweza kujimaliza (kujiua) na wewe kutokana na ushawishi wa hizo roho.

Kwahiyo mkuu just take it easy na amini kuwa amesha kusikia na ameijua nia yako njema na pia ni kwamba anashindwa kukuzuia usifikie kwenye hiyo hatua unayotaka kuichukua kwasababu senses zako hazijafunguka vya kutosha kuweza kuipokea hiyo msg kutoka kwake.

Kuna siku nitaweka thread itakayoelezea maarifa Kama hayo na mengine pia.

I'm out... Take care of yourself mkuu.
Mkuu Hiví Kwa Mfano marehemu alitamka kuwa usimpende MTU Fulani na usije ukamsaidia Kwa chochote Hata kama anashinda Kwa sababu ya ugomvi wao lakini wewe ukawa unauwezo na huoni sababu ya kuishi Kwa Chuki na MTU wakati Huna ugomvi naye ZAIDI ya jurithishwa Chuki.

Je, ukiamua kuishi Kwa upendo na kumtendea wema adui Wa marehemu nini kitatokea ?
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri sana , katika hangaika zangu kutaka kujua kama mpendwa anaweza sikia nili apta habari kwamba kuna Swahaba kipindi cha Mtume ali kwenda kaburini , kitu kama alilalia kaburi au ali busu kabisri ( sina uhakika) wengine wakashangaa, wakaambiwa kwamba Marehemu ana sikia kwa masikio yenye uwezo mkubwa kushinda tulio nayo , hivyo na umenijibu hivyo napata amani kwamba nikenda pale Kaburini nifanye kitu sahihi kwa dua kw akumuombea na kutoa sadaka na pia nimpigishe story .nataka nimwambie nampenda sana na nilikua naye bega kwa bega na nitaendelea kumpenda daima . Nashukuru sana , maana sasa atajuta maana nikiaza mpigisha story nadhani atachoka na mpaka ata pjaribu kupiga miayo maana huwa kama simalizi ,lol , na jisikia kama kesho fasta niende pale Kaburini nikaongeee naye na kumuombea dua . I hope sitakua nime kufuru .
Nashukuru sana sana.
Anasikia vizuri sana, mpaka vishindo vya miguu kusogelea kaburi na kuondoka anasikia! Dua na maombi anasikia! Asichoweza kufanya ni kusogea, kuongea, kuvuta pumzi!

Dua/Maombi hata kama anafanyiwa kilometa 1,000 au kilometa 6,000 kutoka alipozikwa yeye, anaambiwa na malaika fulani anakufanyia dua/maombi fulani!

Na kama ulikua hujui, hata pindi watu waliokua hai, aliowaacha hai wakimsahau kumfanyia dua/maombi, huwa anahuzunika sana kwanini amesahauliwa!! Na kwa waislamu ndio maana huwa na ratiba kila baada ya muda fulani (Miezi au kila mwaka/miaka) huwafanyia dua/maombi wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki (Utaskia; Juzi tulifanya khitma ya wazee wetu au wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki, tulijisahau miaka bana)!!
 
Wow sasa nina amani kubwa nitakua na fanya hayo mara kwa mara , sita muacha mpendwa wangu ahuzunike nitahakikisha namfanyia dua na kumtolea sadaka na kumpigisha story nzuri kila nitakapo zuru hapo Kaburini , Umenipa Moyo sana , nilikua sifikirii maisha niliona hakuna haja ya kuishi wakati mpendwa wangu hayupo na sijui kama ana jua ninampenda kwa namna hii , sasa nina amini kwamba ananisikia na emsha nisikia kwa kila nilicho kisema.
Asante sana na Mungu akubariki kwa msaada huu mkubwa .
 
Back
Top Bottom