Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

Acha wapumzike man. Wamemaliza hizi tabu let them rest aisee.

Mi nife hafu mtu anitafute online aisee nitamshushia matusi na vitisho hadi ajiue.
Huo ni uongo wa wakina mackenzi kuwahadaa wajinga heti anaongea na wafu matokeo yake kawapeleka shakaholo kuwazika na kuwakata nyiti zao
 
Watu wakishafariki spirit zao zina under go mabadiliko. Hawawi tena wale unaowajua. Kuna mambo wanayafahamu na hawatokuchukulia the same.

Pia wakienda ulimwengu wa pili ukiwarejesha huku wakipata mlango wa kurudi huku utaanza kushangaa una andamwa na mabalaa kumbe wamekuja kucorrect yale ambayo wamekosea.

Mfano mzee wako alikuwa mpigaji mkubwa serikalini akienda akirudi hatotaka wewe uendelee kuhusudu mali maana hazina faida na wewe kule uendako sasa utashangaa anakufungia biashara kazi na vitu vingi ili uwe fukara ulete ukaribu wako na MUNGU.

Sasa hauoni tayari umekaribisha madhira.
 
duh hatari hiyo , sasa wanawezaje kurudi huku ,Asante kwa taarifa
 
Watu wakishafariki spirit zao zina under go mabadiliko. Hawawi tena wale unaowajua. Kuna mambo wanayafahamu na hawatokuchukulia the same.

Pia wakienda ulimwengu wa pili ukiwarejesha huku wakipata mlango wa kurudi huku utaanza kushangaa una andamwa na mabalaa kumbe wamekuja kucorrect yale ambayo wamekosea.

Mfano mzee wako alikuwa mpigaji mkubwa serikalini akienda akirudi hatotaka wewe uendelee kuhusudu mali maana hazina faida na wewe kule uendako sasa utashangaa anakufungia biashara kazi na vitu vingi ili uwe fukara ulete ukaribu wako na MUNGU.

Sasa hauoni tayari umekaribisha madhira.

OffTopic: Hivi haiwezekani ukawa tajiri na ukawa karibu na Mungu??
 
Dua/Maombi huwa haina dini, hata kama dini tofauti ilimradi ni binaadamu hai kumwombea mtu alietangulia mbele ya haki humfikia na husikia dua hio.

Kwa waislamu; mtu akishazikwa tu kwenye kaburi, anaanza kusikia kila kitu kinachoendelea juu ya kaburi, anasikia mpaka miguu ya watu wanavoanza kuondoka na kwenda zao, anawasikia. Sambamba na kuwasikia hata wanavomlilia (Ndio maana huwa wanaambiwa sio vizuri kulia sana kwani mfu anasikia! Kitu ambacho hawezi kufanya ni kusogeza viungo vyake na kuongea na kuvuta pumzi!
Hii chai,masikio yanakua hai ingawa kafa na hapumui
 
Back
Top Bottom