Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
- #121
Naomba tafadhali MwongozoNikupe muongozo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba tafadhali MwongozoNikupe muongozo???
Kwa dar hakuna labda mbinguni hukoJe, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
AsanteKwa dar hakuna labda mbinguni huko
Huo ni uongo wa wakina mackenzi kuwahadaa wajinga heti anaongea na wafu matokeo yake kawapeleka shakaholo kuwazika na kuwakata nyiti zaoAcha wapumzike man. Wamemaliza hizi tabu let them rest aisee.
Mi nife hafu mtu anitafute online aisee nitamshushia matusi na vitisho hadi ajiue.
Asante sanaPole sana Mkuu
Hebu nipe mwongozo wa kwako nione labda utakuwa rahisiHata wewe unaweza kuongea nao pia.
Necromancy?,naona unajitengenezea mazingira ya kupigwa helaJe, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
duh hatari hiyo , sasa wanawezaje kurudi huku ,Asante kwa taarifaWatu wakishafariki spirit zao zina under go mabadiliko. Hawawi tena wale unaowajua. Kuna mambo wanayafahamu na hawatokuchukulia the same.
Pia wakienda ulimwengu wa pili ukiwarejesha huku wakipata mlango wa kurudi huku utaanza kushangaa una andamwa na mabalaa kumbe wamekuja kucorrect yale ambayo wamekosea.
Mfano mzee wako alikuwa mpigaji mkubwa serikalini akienda akirudi hatotaka wewe uendelee kuhusudu mali maana hazina faida na wewe kule uendako sasa utashangaa anakufungia biashara kazi na vitu vingi ili uwe fukara ulete ukaribu wako na MUNGU.
Sasa hauoni tayari umekaribisha madhira.
Nitajarib kuwa makiniNecromancy?,naona unajitengenezea mazingira ya kupigwa hela
Sina mwongozo.Hebu nipe mwongozo wa kwako nione labda utakuwa rahisi
Unawezaje ongea nao?Sina mwongozo.
But naweza ongea na wazazi wangu ambao leo hatupo nao tena
OkNaomba tafadhali Mwongozo
CrazyJama hakuna mpaka sasa anayejua kam hapa Dar kuna Mtaalam wa kuwasiliana na wafu?
Ni wife au mzazNinaumia sana natamani niongee na mpwendwa wangu
Watu wakishafariki spirit zao zina under go mabadiliko. Hawawi tena wale unaowajua. Kuna mambo wanayafahamu na hawatokuchukulia the same.
Pia wakienda ulimwengu wa pili ukiwarejesha huku wakipata mlango wa kurudi huku utaanza kushangaa una andamwa na mabalaa kumbe wamekuja kucorrect yale ambayo wamekosea.
Mfano mzee wako alikuwa mpigaji mkubwa serikalini akienda akirudi hatotaka wewe uendelee kuhusudu mali maana hazina faida na wewe kule uendako sasa utashangaa anakufungia biashara kazi na vitu vingi ili uwe fukara ulete ukaribu wako na MUNGU.
Sasa hauoni tayari umekaribisha madhira.
Hii chai,masikio yanakua hai ingawa kafa na hapumuiDua/Maombi huwa haina dini, hata kama dini tofauti ilimradi ni binaadamu hai kumwombea mtu alietangulia mbele ya haki humfikia na husikia dua hio.
Kwa waislamu; mtu akishazikwa tu kwenye kaburi, anaanza kusikia kila kitu kinachoendelea juu ya kaburi, anasikia mpaka miguu ya watu wanavoanza kuondoka na kwenda zao, anawasikia. Sambamba na kuwasikia hata wanavomlilia (Ndio maana huwa wanaambiwa sio vizuri kulia sana kwani mfu anasikia! Kitu ambacho hawezi kufanya ni kusogeza viungo vyake na kuongea na kuvuta pumzi!