Kuna mtanzania alipewa hifadhi ya ukimbizi ulaya kwa sababu ya uchawi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Miaka ya nyuma enzi za utawala wa Mkapa kulikuwa na mauaji ya wachawi na vikongwe. Ukionekana una macho mekundu unauwawa kwa kuchomwa kwenye nyumba kwa sababu unahisiwa ni mchawi.

Wakati huo Kuna kijana mbongo alipata visa ya kutembelea Scandinavia akaona atumie hiyo fursa ya wachawi bongo kuuliwa kuomba hifadhi ya ukimbizi.

Mwamba alijiandaa. Wazungu hata ukidanganya wanataka facts na evidence.

Mwamba akapata nakala za magazeti yenye habari hizo za wachawi kuuwawwa.

Akapata wazo ukiwa na macho mekundu unauwawa. Mwamba akawa anajipaka pilipili machoni mfulululizo machoni hadi yakawa mekundu.

Alipoomba hifadhi interview na kuambatanisha ushahidi wa nakala za magazeti na macho mekundu mwamba akapewa hifadh. Mwamba hadi leo mambo safi.

Sasa hivi kwa haya mauaji ya kimbari dhidi ya watanganyika ukiwa ulaya ukaomba asylum faster unapewa hifadh.

Ni kuambatanisha tu ushahidi na uzuri ushahidi upo wazi na Larry Madowo wa CNN amekusanya na yuko mbioni kujulisha dunia.

Wakenya nao sasa hivi watajiachia kama wabongo.
 
Wazungu hata wakijua unadanganya ukiwaonyesha facts na ushahid. Mfano waganda wanaomba ukimbizi eti ni mashoga lazima wapimwe mikundu kuthibitisha kama hawana marinda. Wanaokutwa na marina wananyimwa.

Sasa unakuta njemba anajivua ubingwa kwa kukalia vitu vigumu butu vilivyonyooka kisa tu kuish ulaya.
 
Miaka ya nyuma enzi za utawala wa Mkapa kulikuwa na mauaji ya wachawi na vikongwe. Ukionekana una macho mekundu unauwawa kwa kuchomwa kwenye nyumba kwa sababu unahisiwa ni mchawi.

Wakati huo Kuna kijana mbongo alipata visa ya kutembelea Scandinavia akaona atumie hiyo fursa ya wachawi bongo kuuliwa kuomba hifadhi ya ukimbizi.

Mwamba alijiandaa. Wazungu hata ukidanganya wanataka facts na evidence.

Mwamba akapata nakala za magazeti yenye habari hizo za wachawi kuuwawwa.

Akapata wazo ukiwa na macho mekundu unauwawa. Mwamba akawa anajipaka pilipili machoni mfulululizo machoni hadi yakawa mekundu.

Alipoomba hifadhi interview na kuambatanisha ushahidi wa nakala za magazeti na macho mekundu mwamba akapewa hifadh. Mwamba hadi leo mambo safi.

Sasa hivi kwa haya mauaji ya kimbari dhidi ya watanganyika ukiwa ulaya ukaomba asylum faster unapewa hifadh.

Ni kuambatanisha tu ushahidi na uzuri ushahidi upo wazi na Larry Madowo wa CNN amekusanya na yuko mbioni kujulisha dunia.

Wakenya nao sasa hivi watajiachia kama wabongo.
Chai
 
Uchawi ni beleif ambayo serikali yoyote duniani haimini maana hamna practicality

Isipokuwa anaweza pewa hifadhi kama ni muhanga au mlengwa wa hayo mauaji
 
Back
Top Bottom