Kuna Mtanzania anayeelewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

CHADEMA tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)

CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.

Je, CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!

Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
 
Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)

CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.

Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!

Chukua CHako Mapema
 
CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Fafanua kidogo mkuu ili tupate kukujibu kwa ufasaha.

Zamani hiyo ni ipi ambapo sisiemu ilikuwa ya wakulima, wajamaa na maendeleo.

Na sasa hiyo inaanzia wapi/kwa m/kiti yupi ambayo huielewi?

NB:
  • Maendeleo hayajawahi kuwepo, ilipo sisiemu
  • Ujamaa, alikuwa na hilo wazo mwenyewe alishangaa lilivyouliwa bila hata kujuzwa.
  • Wakulima hao ni wapi, wale wenye Hektaz za mahindi msoga au zabibu idodomya?

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kuteka na kuua watu wanaokosoa wakubwa
 
kabla ya 1992. Kabla ya mfumo wa vyama vingi. kwasasa hawaeleweki. Hili ndilo tatizo. Hawawezi kusema wanasimamia haki, hawawezi kusema wanasimamia wanyonge na hawawezi kusema wanasimamia rushwa
 
Kutawala milele, yani kubaki madarakani kwa njia yoyote hata haramu kama kuteka na kupoteza au kuua washindani kisiasa
 
kabla ya 1992. Kabla ya mfumo wa vyama vingi. kwasasa hawaeleweki. Hili ndilo tatizo. Hawawezi kusema wanasimamia haki, hawawezi kusema wanasimamia wanyonge na hawawezi kusema wanasimamia rushwa
Sawa, sasa kama ni hiyo, vichache wanavyosimamia na kuvifanya kwa ufanisi na kuhakikisha vinastawi ni;
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umasikini
4. Uzembe
5. Ngono
6. Starehe

1. Wamefanikiwa kuukuza kufikia level ya juu kati, na hasa ukizingatia tekenolooojia ilipo, version iliyofikia ni UCHAWA. Wamepanua zaidi wigo wa wenaofika vidato bila kujua wamefikaje, hii imesaidia kuchechemua biashara stahimilivu kama bodaboda n.k

2. Yamekuwa kwa kiwango kizuri, hata kufikia sehemu kubwa ya nchi vijijini kuiingiza NJAA kwenye maradhi, ni hatua ya msingi ya kimaendeleo.

3. Wamejidhatiti kuhakikisha future ya nchi inaingia utumwani, katika kufanikisha hilo, mikakati endelevu inaendelea, ikiwa ni pamoja na uuzwaji wa rasilimali, mapande ya ardhi na kujimilikisha vingi kwa wachache.

4. Hii ni sehemu ya usasa na umwamba kwa watumishi wao, wakihamasishana kuwa na side haso ambazo wakiondolewa mirija ya serikalini, side haso na zenyewe zinakufa! Wanaambiana tafuta pesa....ujue ni harakati chanya za kuuza utu wa wengi ili wacahche wawatese wengi, mfano ni sembe, udangaji, ulugumi, etc

5. Wanapofanikiwa kwenye juhudi za makusudi zitokanazo na namba 3 na 4 hapo juu, wizara ya afya inahakikisha kutoa elimu kwa watu wake ili wapate mapumziko ya muda mfupi na mrefu kwenye mashimo hayo!

6. Hapa pia wamejidhatiti kuhakikisha jamii nzima imefikiwa bila kujali kama ni mnufaika wa namna 3 na 4, vibali vya kila aina vimetolewa ili watu wapate raha ya milele kwa namna zao!

Ni mengi ambayo yanasimamiwa, kwa uchache nimetanguliza yenye nguvu zaidi.
 
Inasimamia mabango ya samia kila Barbara.

Inasimamia mama Samia comedy.

Inasimamia kalamu ya mama.

Inasimamia kula kwa urefu wa kamba Yako.

Inasimamia goli la mama.

Nk.
 
Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?

Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)

CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.

Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!

Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
Kuiba na kuua uchumi wa Tanzania
 
Misingi mkuu ni Rushwq na Ufisadi

Utekaji na mauaji, Mfano Mdude na Alikibao
 
Kuwafanya Raia wote watumwa ndani ya nchi yao, huku wao wakitawala kwa mkono wa chuma.
 
Back
Top Bottom