Chukua CHako MapemaKuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?
Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)
CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!
Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
Fafanua kidogo mkuu ili tupate kukujibu kwa ufasaha.CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Kuteka na kuua watu wanaokosoa wakubwaKuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?
Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)
CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!
Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
kabla ya 1992. Kabla ya mfumo wa vyama vingi. kwasasa hawaeleweki. Hili ndilo tatizo. Hawawezi kusema wanasimamia haki, hawawezi kusema wanasimamia wanyonge na hawawezi kusema wanasimamia rushwaFafanua kidogo mkuu ili tupate kukujibu kwa ufasaha.
Zamani hiyo ni ipi ambapo sisiemu ilikuwa ya wakulima, wajamaa na maendeleo.
Na sasa hiyo inaanzia wapi/kwa m/kiti yupi ambayo huielewi?
NB:
- Maendeleo hayajawahi kuwepo, ilipo sisiemu
- Ujamaa, alikuwa na hilo wazo mwenyewe alishangaa lilivyouliwa bila hata kujuzwa.
- Wakulima hao ni wapi, wale wenye Hektaz za mahindi msoga au zabibu idodomya?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kutawala milele, yani kubaki madarakani kwa njia yoyote hata haramu kama kuteka na kupoteza au kuua washindani kisiasaKuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?
Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)
CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!
Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
Sawa, sasa kama ni hiyo, vichache wanavyosimamia na kuvifanya kwa ufanisi na kuhakikisha vinastawi ni;kabla ya 1992. Kabla ya mfumo wa vyama vingi. kwasasa hawaeleweki. Hili ndilo tatizo. Hawawezi kusema wanasimamia haki, hawawezi kusema wanasimamia wanyonge na hawawezi kusema wanasimamia rushwa
Kuiba na kuua uchumi wa TanzaniaKuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?
Chadema tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na haki za Watanzania)
CCM ya zamani kilikuwa chama cha wakulima, ujamaa na maendeleo.
Je CCM ya sasa hivi ukiulizwa leo inasimamia nini hasa. Sera zake hasa zimejikita kwenye mambo gani ukizingatia sio HAKI , sio uwazi wa serikali na sera za maendeleo hazieleweki !!!
Yaani huwezi kuwa na Chama ambacho hawa wanachama wake wanaenda kwa mkumbo tu hawajui kwanini wapo chama hicho zaidi ya matumbo yao
Misingi mkuu ni Rushwq na UfisadiKuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?