GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani wewe ulikuwa una mwamini Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] CHADEMA nzima ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] amini usi aminiKuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.
Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?
Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Usipoteze muda wako kumsikiliza Mbowe ni kama kumsikiliza saa 100Mbowe kazingua sana jana. Wote wenye akili timamu tulishajia analamba, ila kwa kauli zake za jana ndio katuthibitishia wazi kwamba analamba!
Anyway, niko Musoma hapa. Ngoja nikamsikilize leo atasema nini.
Mtakoma awamu hii si mlisema wapinzani hawafai mkawaona ni wajinga kila siku mnawatukana eti ni wachumia tumbo.Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.
Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?
Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Mbowe kazingua sana jana. Wote wenye akili timamu tulishajia analamba, ila kwa kauli zake za jana ndio katuthibitishia wazi kwamba analamba!
Anyway, niko Musoma hapa. Ngoja nikamsikilize leo atasema nini.
Tuliosoma Cuba tumeishaelewaKuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.
Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?
Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Hapa unamzungumzia MboweKuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.
Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?
Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Rais Samia ameonesha kuwa na akili na maarifa ya siasa kuliko yule mtu wako aliyekuwa na hasira kama mbogoKuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.
Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?
Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Kaka anza wewe kuumia kwa vizazi vya baadae tuone!!!Kusema na kuhukumu ni rahisi kutenda kazi!!!Asali tamu kaka wewe hujui tu🤣🤣🤣Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.