Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

Mtakoma awamu hii si mlisema wapinzani hawafai mkawaona ni wajinga kila siku mnawatukana eti ni wachumia tumbo.

Sasa acha waungane na ccm wale mema ya Nchi.
Wanalamba kweli kweli. Mtoa Asali Awe Makini Maana wanaweza kuondoka na Mzinga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe ulikuwa una mwamini Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] CHADEMA nzima ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] amini usi amini

Mbowe hana akili yoyote
Hii kauli naiunga mkono kwa asilimia 100, MBOWE HANA AKILI!! kwanza angekua na akili na kutaka ustawi wa demokrasia angepisha hapo uenyekiti wa CHADEMA na kuwaachia wenzake waendeleze mapambano. Kung'ang'ania kuongoza CDM inaonesha jinsi gani hajiamini na asivyo na akili na kikubwa ni kila mara kusema MIMI badala ya SISI.Eti hii Zero brain ndio inataka kuja kuongoza nchi ??akaongoze walevi na mashoga wenzake huko, Chama kikuu cha upinzani my foot..
 
Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.

Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?

Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Akipewa u PM si unamtosha!!?

Halafu Ruzuku kibao plus serikali ya umoja wa kitaifa hawezi chomoa!

Hizi ndio siasa zetu TANZANIA!
 
Inaonekana mmeumia sana mikutano kuruhusiwa. Sasa wewe kahaba ulikuwa unataka siasa za jino kwa jino. Kiufupi mama kaupiga mwingi kwenye hili. Mm sio sisiemu ila kwa hili nampongeza. Akitupatia katiba mpya atakuwa ni Rais alieacha Legacy ya kukumbukwa na vizazi vyote. Wewe ulikuwa unataka mbowe apande jukwaani na kuanza kumtukana mama?
 
Hii kauli naiunga mkono kwa asilimia 100, MBOWE HANA AKILI!! kwanza angekua na akili na kutaka ustawi wa demokrasia angepisha hapo uenyekiti wa CDM na kuwaachia wenzake waendeleze mapambano. Kung'ang'ania kuongoza CDM inaonesha jinsi gani hajiamini na asivyo na akili na kikubwa ni kila mara kusema MIMI badala ya SISI. Zero brain hii.
Mtapaniki mpaka mfe.
 
Inaonekana mmeumia sana mikutano kuruhusiwa. Sasa wewe kahaba ulikuwa unataka siasa za jino kwa jino. Kiufupi mama kaupiga mwingi kwenye hili. Mm sio sisiemu ila kwa hili nampongeza. Akitupatia katiba mpya atakuwa ni Rais alieacha Legacy ya kukumbukwa na vizazi vyote. Wewe ulikuwa unataka mbowe apande jukwaani na kuanza kumtukana mama?
MAma kaufumua hasa. Mungu ambariki sana
 
Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.

Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?

Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Ccm hao
 
Inaonekana mmeumia sana mikutano kuruhusiwa. Sasa wewe kahaba ulikuwa unataka siasa za jino kwa jino. Kiufupi mama kaupiga mwingi kwenye hili. Mm sio sisiemu ila kwa hili nampongeza. Akitupatia katiba mpya atakuwa ni Rais alieacha Legacy ya kukumbukwa na vizazi vyote. Wewe ulikuwa unataka mbowe apande jukwaani na kuanza kumtukana mama?
Katiba itapatikana lakini itakuwa HAINA maana Tena!!

Ni kana kwamba CCM chama changu wamepatana waifilisi NCHI kwanza yaani Deni liwe kubwa Sana na rasilimali ziwe zimeisha Halafu Ndio UPINZANI washike DOLA!!

HAYO Mabadiliko upinzani itafanya KWA mtaji Gani WAKATI NCHI ishaharibika!!?

Ni kweli katiba itapatikana Lakini the damage is done!

Nawamba VIONGOZI wa ccm wabakize rasilimali walau KIDOGO kea ajili ya watz na Serikali zijazo!!

Awamu Hii Ndio itafanya UFISADI wa kutisha kuliko awamu zote wanakomba tonge la mwisho KABISA!

Mungu ibariki Tanzania nchi yangu niipendayo Sana!
 
Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.

Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?

Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Mimi niliacha kumuamini Kamanda Mbowe siku ile ametoka gerezani baadaye akaonekana yupo na Mama Ikulu akiwa amevaa suti mpya!
Siasa ya Tanzania ngumu sana!
 
Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.

Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?

Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Acheni Mama na Mbowe wafanyenkazi ya Maridhiano. Acheni kulalama!
 
Lwiva,
Ulitaka aendelee kutukana na kukosoa Serikali kila kukicha, then what!!! Utakuwa mtu wa ajabu sana bora hata zwazwa ambaye maisha yako yote utaona na kuyasema mabaya tu, mazuri ukayafumbia macho. ukiishi hivyo bora ujifie tu unaishi duniani kufanya nini kama wewe kila siku ni ubaya tu.
Kwa hiyo mbowe kaacha kukosoa serikali baada ya mzalendo kuuliwa ...sasa sisi tukisema ni muhuni mtabisha vipi ...kama alikuwa anakosoa kwa maslai ya taifa na kwa haki vipi sasa hivi anapongeza ...haya ndiyo ya lowasa walisema ni fisadi papa baadae wakatuambia lowasa ni malaika mtakatifu wa chadema [emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kwa hiyo mbowe kaacha kukosoa serikali baada ya mzalendo kuuliwa ...sasa sisi tukisema ni muhuni mtabisha vipi ...kama alikuwa anakosoa kwa maslai ya taifa na kwa haki vipi sasa hivi anapongeza ...haya ndiyo ya lowasa walisema ni fisadi papa baadae wakatuambia lowasa ni malaika mtakatifu wa chadema [emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji
ndugu yangu hapo ndio tunapo fail kama taifa. tunakariri sana hatujifunzi mambo mapya. politics is a science inabadilika kulingana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo ndio maana leo hutasikia hotuba ya mwanasiasa nchi hii ikatumia muda mrefu kuongelea wapigania uhuru wa nchi yetu. lakini pia hebu fikiria wewe adui yako kakuokoa kwenye janga lolote lile, utakuwa sio binadamu wa kawaida ukiendelea kumtukana hata ahsante usimpe. walikopitia hawa jamaa ni pagumu sana, ahueni wanayoipata kupitia huyu mama ni kubwa mno, waache washukuru tena wamshukuru sana maana nao ni binadamu hawana mioyo ya mafisi
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu.

Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea Zanzibar?

Leo ndiyo nimeiamini Kauli ya Rafiki yangu Mmoja kuwa nikiwa na Urafiki na Watu wa Kabila Moja ( nalihifadhi ) niwe makini kwani kwa Asili ya Kwao akionyeshwa tu Pesa au Fursa ya Kiutajiri anaweza hata Kukusaliti na Wewe ili akipate.
Gentamycine nawewe naona hujiamini mbona unaweka majina kwenye mabano.
 
Yaani wewe ulikuwa una mwamini Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] CHADEMA nzima ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] amini usi amini

Mbowe hana akili yoyote
Umemzidi Nini wewe mwenye Akili?
 
Back
Top Bottom