Kuna mteule wa juzi anashawishi mteule mwenzake ang'olewe

Kuna mteule wa juzi anashawishi mteule mwenzake ang'olewe

Katika huo ubilionea ni lile jengo chole road na ardhi alizoibia watu na na wizi wa ardhi za watu wasiojulikana au nini?? Pesa za kishenzi huishia ushenzini ngoja tuone atafika wapi huyo kwanza anaumwa ukimwi anapoteza hela zetu kwenda india kila siku kutibiwa hana utajiri wowote wa maana ni dhuluma tu
Dah..

Kwa hiyo ulimuambukiza ukimwi?
 
Sawa bibie,

Ondoa hofu kwenye maslahi yako
Hakuna haja ya maslahi binafsi tunazungumzia haki za watu na majambazi wanayotaka kupora nchi kwa maslahi yao Lukuvi hafai hata ukimsafisha na jiki
 
Lukuvi ni jambazi namba moja Tanzania na ameitia hasara serikali kwa kuiba ardhi za watu kwa hiyo acha upumbavu wewe kama amekutuma Lukuvi umtetee mwambie aende kwao na awe na adabu na heshima kwa wanawake si alisema mwanamke hawezi kutawala Tanzania??
Katudhulumu mashamba yetu yenye hati Nkuhungu broad acre na Matuli Dodoma kupiti wakurugenzi Mafuru na Kunambi

Leo Kuna mgogoro mkubwa
 
Katudhulumu mashamba yetu yenye hati Nkuhungu broad acre na Matuli Dodoma kupiti wakurugenzi Mafuru na Kunambi

Leo Kuna mgogoro mkubwa
Mpaka kampuni za kutathiminl ardhi zilikuwa mali yake yeye akumyanganye ardhi alafu kampuni yake kwambie watakulipa kiasi ngani huo ushenzi unafanyika Tanzania tu na watu wananyamaza kama kondoo
 
Katika huo ubilionea ni lile jengo chole road na ardhi alizoibia watu na na wizi wa ardhi za watu wasiojulikana au nini?? Pesa za kishenzi huishia ushenzini ngoja tuone atafika wapi huyo kwanza anaumwa ukimwi anapoteza hela zetu kwenda india kila siku kutibiwa hana utajiri wowote wa maana ni dhuluma tu
Ukisikia siri za kampuni ndiyo hizo sasa yaani ya ndani ndani kabisa watu wanayajua uwiiiii, wagombanapo faru pembe ndiyo zinaumia.
 
Mpaka kampuni za kutathiminl ardhi zilikuwa mali yake yeye akumyanganye ardhi alafu kampuni yake kwambie watakulipa kiasi ngani huo ushenzi unafanyika Tanzania tu na watu wananyamaza kama kondoo
Yule Mzee wahovyo Sana
Mtu una hati umevamiwa unalazimishwa kutoa asilimia 30 ili alie kuvamia apewe Hii nidhuluma yenye laana
Kwanini huyo Mvamizi asimlipe mwenye hati pakawa na usalama?
 
Back
Top Bottom