the legendary atabaki juu
mpaka ugali ukaimbiwa wimbo...acha bana
yule ni noma sasa huyu domondo aache kupagawa mziki ndio ulivyo
acha tu kaka yule kama snoop kwa marekani mpaka leo snoopy akipanda jukwaani wamarekani wanasahau kama kuna lil wayne
usiwe limbukekeni we dadamondi mashabiki wanakuona limbukeni kwani kukata viuno ndio ufundi nyumbi bombi -------- hizi no mistari iliyopo kwenye nyimbo inaitwa kama Jana nature alifanya na jide nafikiri sasa inaleta maana ya kilichoimbwa
yaani mwanzo mwenga!
Elimu za chekechea zina mawazo duni
Mwendo mchibuyu!