Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

nilikuwa fiesta moja miaka km miwil iliyopita nature akapanda jamani shdraaaaaaaaaaa
acha tu kaka yule kama snoop kwa marekani mpaka leo snoopy akipanda jukwaani wamarekani wanasahau kama kuna lil wayne
 
Bado anapendwa mpk kesho ingawa hana nyimbo mpya.....jana tu nyimbo yake ilipigwa,watu walishangilia hatari
yule ni noma sasa huyu domondo aache kupagawa mziki ndio ulivyo
 
Who is huyo yaliyompata...?? Unajuwa ukianzisha uzi halafu ukafanya réf ya uzi mwingine bila kuweka link ya uzi huo utaonekana unabwabwaja tu
kaka connect dots utanielewa tu wasionielewa ni team wema
 
Juma nature hadi kesho anapendwa nakukubalika,anajitambua na hana maringo wala ushamba wa mali..mtoto wa uswazi mwenye mali ila anajitambua
 
Juma hawezi kuchuja mkuu ata akiamua kusimama na Mtemvu Temeke kugombea ubunge Juma atashinda kwa kishindo cha ajabu hivi kuna msanii aliwahi kujaza watu Diamond Jubilee-Upanga kama Juma ? Jibu ni kwamba haitoka itokee mtaishia nightclubs za Posta na Masaki. Kidumu Juma Kassim Kiroboto.
 
Kitu cha "hili gemu" hata zikipigwa albamu nzima ya daidomo haifuniki nyimbo moja ya nature.....
 
Nature kipindi kile anatoa singo ya ugali mwaka mzima inapigwa! Jamaa kama hakutengeneza hela enzi zile basi!
 
acha tu kaka yule kama snoop kwa marekani mpaka leo snoopy akipanda jukwaani wamarekani wanasahau kama kuna lil wayne

Wewe unalako, si unajua marekani mastaa wengi kila mtu na pesa zake sasa wivu wa nini.

Kama wampenda juma nature poa ila haya ya kuombea wenzio washuke ni wivuuuuuuuu, roho mbaya pia juuuuuuu.

Waimbaji wangapi wanaimba na nyimbo zao ubaki kuwa juu na juwaingizia pesa sasa huyu ndio Mr D.

Haya shusha habari JN alujiendelezaje weye mwenye wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Nimegundua uset names zinajirudia zinaxopinga na jumuonea wivu Diamond.

Utakuta wengivwenu hata kabati la kuwekea nguo hamjui linapatikanaje sembuse dawa ya mswaki.

Full ma wivu utadhani yeye sio msanii aliepeperusha nchi yetu kizaidiiiiiii

Tena mujuenamjazia baraka tele kijana huyo mpende msipende

Alianzia kuuza barabarani etc, mmmhhhh hamkumsrma pesa imeingia wivu.com
 
usiwe limbukekeni we dadamondi mashabiki wanakuona limbukeni kwani kukata viuno ndio ufundi nyumbi bombi -------- hizi no mistari iliyopo kwenye nyimbo inaitwa kama Jana nature alifanya na jide nafikiri sasa inaleta maana ya kilichoimbwa

Mwenye audio clip ya part ya wimbo huu wa Dadamondi atuwekee. Nature anajua ku predict, na kwa hakika yametimia.
 
Bosi mkurugenzi kitambi menejaaaa .............
 
Back
Top Bottom