msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Morogoro bossvizuri sana
Posta yako ni ya dsm au mkoani?
Ndiyo ninayo inaitwa Tanzanite ila eBay nimefanikiwa kununua vitu.card yako ni ya visa master card??
Kwa DHL TNT yawezekana, ila posta?! Sahau, TTCL wezi sana..[emoji35] [emoji35] [emoji35]Heri wanajukwaa
Kuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe kwa njia ya posta
Hebu ambao mshawah kununua mkatumiwa kupitia posta nipeni feedback zenu
Vp kodi kwa upande wa simu?maana nanunua moja tu
Natumia visa ya crdb...vp unatumia card gn ya benk?
Na wauzaji wenyewe wameshalijua hili na ndomana siku hizi ata ukimwambia muuzaji akutumie kwa posta anakataa kabisa na hii option mitandao mingi imeondolewa sio salama kabisaKwa DHL TNT yawezekana, ila posta?! Sahau, TTCL wezi sana..[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kumbe sasa tumeshajua janja yenuMi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
walikuchaji shi ngapi mpaka kufika?Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
Kumbe sasa tumeshajua janja yenu
Ilichukua siku ngapi? na umekuja na njia gani?Nimenunua Xiaomi kutoka banggood.com imefika freshi.