Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
 
Now nipo na dhl ni mzigo wa $203 na unahitaj care na haraka kufika ndio nikampa dhl....I can hav it 27 dec
7376e9f367489f6d34800123f662b6d4.jpg
saf sana mkuu ila dhl wangepunguza gharama ingekua saf sn
 
Hivi kuna mtu humu aliwahi kununua mtandaoni kwa kutumia kadi ya NMB? Nimejaribu kununua AliExpress imegoma imanitaka niweke OTP ambayo sina
card yako ni ya visa master card??
 
Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
vp unatumia card gn ya benk?
 
Heri wanajukwaa
Kuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe kwa njia ya posta
Hebu ambao mshawah kununua mkatumiwa kupitia posta nipeni feedback zenu
Vp kodi kwa upande wa simu?maana nanunua moja tu
Kwa DHL TNT yawezekana, ila posta?! Sahau, TTCL wezi sana..[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Na wauzaji wenyewe wameshalijua hili na ndomana siku hizi ata ukimwambia muuzaji akutumie kwa posta anakataa kabisa na hii option mitandao mingi imeondolewa sio salama kabisa
 
noma sana
 
Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
walikuchaji shi ngapi mpaka kufika?
 
Naomba kujua site nzuri za kununulia bidhaa tofauti na Alibaba , EBay , amazon na bestbuy
 
Back
Top Bottom