Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

Uende na confirmation e-mail, kwamba umepokea refund, wanakuwekea kwenye a/c yako pesa yako yote
mkuu mimi ninatumia aliexpress wakirefund hawatumag email
 
Mbona mm wananitumia.. labda ww haungalii tu!... Hata mwezi uliopita nimepokea refund bila shida yoyote ile e-mail yenyewe hii hapa.
 
kwahiyo boss nawatumia screenshot au
 
Mbona mm wananitumia.. labda ww haungalii tu!... Hata mwezi uliopita nimepokea refund bila shida yoyote ile e-mail yenyewe hii hapa.
naomba namba yako kuna jambo nataka unisaidie plZz
 
mkuu unapiga screenshot' info zipi za refund hapo ndo huwa pananichanganya pls nisaidie kk
Ile email ya risiti kutoka paypal ifungue, utaona link ifungue pia utakuta maelezo yanayohusu refund, screenshot hayo halafu watumie bank yako.
 
Yes, angali vitu vifuatavyo:

- Review ya muuzaji, ameuza item ngapi na wamemrecommend vipi.
- Angalia kama ana protections zozote.
- Tumia visa (Kuna contract ya visa ya refund pakiwa na shida)
 
Ilichukua siku ngapi? na umekuja na njia gani?
Sikumbiku exactly nadhani ilikuwa wiki 2-3 nilichagua ile option ya express banggood ilikuja kwa posta au EMS.
 
Pia nimenunua laptop AliExpress (~$200) ilikuja kwa posta na laptop Amazon (more than $1,000) ilitumwa kwa EMS.
 
Ile email ya risiti kutoka paypal ifungue, utaona link ifungue pia utakuta maelezo yanayohusu refund, screenshot hayo halafu watumie bank yako.
mimi natumia aliexprss hawana paypal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…