Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Ukiwatumia vielelezo mbona wanakupa fastamm nina ya equity issue ya refund ndo huwa wanazngua hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwatumia vielelezo mbona wanakupa fastamm nina ya equity issue ya refund ndo huwa wanazngua hawa
unamfundisha kukwepa kodi?Mi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
Uende na confirmation e-mail, kwamba umepokea refund, wanakuwekea kwenye a/c yako pesa yako yotekvp mkuu?nielekeze
Mbona mm wananitumia.. labda ww haungalii tu!... Hata mwezi uliopita nimepokea refund bila shida yoyote ile e-mail yenyewe hii hapa.mkuu mimi ninatumia aliexpress wakirefund hawatumag email
Ile email ya risiti kutoka paypal ifungue, utaona link ifungue pia utakuta maelezo yanayohusu refund, screenshot hayo halafu watumie bank yako.mkuu unapiga screenshot' info zipi za refund hapo ndo huwa pananichanganya pls nisaidie kk
Mi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
2-4 weeks kwa registered mail/parcelmfano umenunua toka china inatumia muda gani kaka kufika
Heri wanajukwaa
Kuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe kwa njia ya posta
Hebu ambao mshawah kununua mkatumiwa kupitia posta nipeni feedback zenu
Vp kodi kwa upande wa simu?maana nanunua moja tu
Sikumbiku exactly nadhani ilikuwa wiki 2-3 nilichagua ile option ya express banggood ilikuja kwa posta au EMS.Ilichukua siku ngapi? na umekuja na njia gani?
Pia nimenunua laptop AliExpress (~$200) ilikuja kwa posta na laptop Amazon (more than $1,000) ilitumwa kwa EMS.Sikumbiku exactly nadhani ilikuwa wiki 2-3 nilichagua ile option ya express banggood ilikuja kwa posta au EMS.
aliexpress na e bay ni wapi wapo fasta zaidPia nimenunua laptop AliExpress (~$200) ilikuja kwa posta na laptop Amazon (more than $1,000) ilitumwa kwa EMS.
naomba no yako boss, tutawasiliana vizuri kwa maelezo zaidimimi natumia aliexprss hawana paypal
Kwa njia ya posta?Nimenunua Xiaomi kutoka banggood.com imefika freshi.