Johnsonmdee
Member
- Dec 15, 2017
- 17
- 2
Banggood wanatumia Air Parcel na EMS, mizigo yote inakuja post office, halafu bei zao ni nafuu ukicompare na sites nyingine.Kwa njia ya posta?
Tumia NMB mastercard waambie waifungue unafanya online transaction bila shaka mi naitumia sana hiyo kununulia spare parts zangu za gari yangu na kununua vitabu onlineHivi kuna mtu humu aliwahi kununua mtandaoni kwa kutumia kadi ya NMB? Nimejaribu kununua AliExpress imegoma imanitaka niweke OTP ambayo sina
Hivi unaposema posta unamaanisha nini..kwa sababu mimi mizigo yangu yote ya nje nawatumia wale posta EMS...Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
Lipa kupitia PayPal ni salama kwa bidhaa na pesa zako.Na wauzaji wenyewe wameshalijua hili na ndomana siku hizi ata ukimwambia muuzaji akutumie kwa posta anakataa kabisa na hii option mitandao mingi imeondolewa sio salama kabisa
hahaha bei gani hiyo mkuu???nishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
hyo aliyoonyesha jamaa kubwa sana hilo spy camera linaonekana kabisa yenyewe km kifungo kidogo sn naunaweza kuweka wifi ukawa nje ukaona waliokuwa ndani kupitia simu yako na sauti unawasikiaHako Kadude kumbe
Daah we mjanja sananishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
Bei gani mkuu hadi unaipata???hyo aliyoonyesha jamaa kubwa sana hilo spy camera linaonekana kabisa yenyewe km kifungo kidogo sn naunaweza kuweka wifi ukawa nje ukaona waliokuwa ndani kupitia simu yako na sauti unawasikia
mkuu naomba namba yako tafadhali?Bei gani mkuu hadi unaipata???
mkuu napataje contact zako kaka?nishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
Aiseee mbona unanitisha,maana na me nipo kwenye utaratibu wa kuagiza Xiaomi kupitia Postadaah posta wamepiga xiaomi yangu asee ,nasubiri refund saiv
sikushauri hata kidogoAiseee mbona unanitisha,maana na me nipo kwenye utaratibu wa kuagiza Xiaomi kupitia Posta
[emoji134] [emoji79]sikushauri hata kidogo