Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

Hivi kuna mtu humu aliwahi kununua mtandaoni kwa kutumia kadi ya NMB? Nimejaribu kununua AliExpress imegoma imanitaka niweke OTP ambayo sina
Tumia NMB mastercard waambie waifungue unafanya online transaction bila shaka mi naitumia sana hiyo kununulia spare parts zangu za gari yangu na kununua vitabu online
 
Nimeshanunua laptop aliexpress na ikafika poa... ila nitumia dhl...mmmh posta kwa vitu vya electronics siwaamini nahisi ntaambiwa vimepotea...ila vingine vingi navipata through posta
Hivi unaposema posta unamaanisha nini..kwa sababu mimi mizigo yangu yote ya nje nawatumia wale posta EMS...
 
Na wauzaji wenyewe wameshalijua hili na ndomana siku hizi ata ukimwambia muuzaji akutumie kwa posta anakataa kabisa na hii option mitandao mingi imeondolewa sio salama kabisa
Lipa kupitia PayPal ni salama kwa bidhaa na pesa zako.
 
Nitajaribu na bangood nione ila aliexpress nawaenjoy sana yaani nimewazoea mnooo haipiti siku bila kuingia na kuangalia wameleta nini mpya huko
 
nishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
 
hahaha bei gani hiyo mkuu???
 
hahaha bei gani hiyo mkuu???
-2106156638-2139760143.jpg
-21061566381913010661.jpg

[emoji91] [emoji91]
 
Hako Kadude kumbe
hyo aliyoonyesha jamaa kubwa sana hilo spy camera linaonekana kabisa yenyewe km kifungo kidogo sn naunaweza kuweka wifi ukawa nje ukaona waliokuwa ndani kupitia simu yako na sauti unawasikia
 
nishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
Daah we mjanja sana
 
Bei gani mkuu hadi unaipata???
 
nishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.
mkuu napataje contact zako kaka?
 
daah posta wamepiga xiaomi yangu asee ,nasubiri refund saiv
 
Back
Top Bottom