Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

Haha bei gani hiyo mkuu
 
Nilishawahi kuagiza mzigo kupitia posta muda ulipita, ukapita mpaka nikasahau, ndio siku hiyo wakanipigia simu kuna mzigo wako...
 
Aiseee mbona unanitisha,maana na me nipo kwenye utaratibu wa kuagiza Xiaomi kupitia Posta
Hamna uli usipigwe posta ni rahisi sana hakikisha ukinunua upate tracking ID kama hawajakupa wambie wakutumie ukishapata tracking ID hakikisha unautrack kila siku ukifika posta tu siku hiyo hiyo kachukue mzigo ukishakaaka kama week pale ndo mwanya wa wapigaji wanapiga mm nishaagiza vitu vingi sana UK kwa kutumia Royal mail sijawai ibiwa chochote vigezo lazima iwepo tracking baada ya kugundua wahindi posta na kkoo wana over price
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…