xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Haha bei gani hiyo mkuunishawahi kununua spy camera kwenye ebay walinitumia kwa posta mwaka jana ni ndogo sana inarekodi sauti na video inanisaidia sn ofisini maana nilikuwa na marafiki wengiii ofisini hila baada ya kuinunua nikitoka nje ya ofisi nnaiwasha nikirudi natoa memory card naweka kwenye simu nasikiliza majungu niliyopigwa nikapunguza marafiki nikajua kumbe wote wanafiki.