Kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa?

Kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa?

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
626
Reaction score
409
Habari watafutaji wenzangu,

Naomba niwaulize, hivi humu ndani kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa? Maana naona wanatoa tu matangazo ya ajira ila naona siitwi.

Wewe unasema ulishawahi kuomba ajira Barrick na ukaitwa kwenye interview?

Karibuni
 
Kama hujawahi fanya internship huko mgodini sahau kuitwa.​
Ila waweza jaribu Kama una connection.​
 
Mimi Nataka kazi Ya usafrishaji mafuta geita gold au buzwagi
 
Mimi Nataka kazi Ya usafrishaji mafuta geita gold au buzwagi

UKITAKA KAZI ZA MIGODINI HEBU SOGEA SOGEA PANDE HIZO UKAFANYE KAZI YOYOTE ILI UWE UMEZOEA MAZINGIRA
 
Back
Top Bottom