Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Mimi sijawahi hata kuomba naomba email yao hao barick.
Kama hujawahi fanya internship huko mgodini sahau kuitwa.Ila waweza jaribu Kama una connection.
Mimi Nataka kazi Ya usafrishaji mafuta geita gold au buzwagi