Kuna mtu aliyekuharibia siku? Toa nyongo kwenye uzi huu kwa afya ya mwili na akili

chazachaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
2,829
Reaction score
3,835
Habari za wasaa Wana JF.

Leo nimeona niwaletee uzii wa kutoa nyongo, zilizosababishwa na ma boss makazini, familia, ndoa, wapenzi n.k

Kama wanasaikokojia wanavyoshauri, umuhimu wa kutoa yaliyo moyoni kwa afya ya mwili na akili.

Karibuni.
 
Boss wangu kanilazimisha kusoma vitabu nami sipendi kusoma nikamuomba anilipe kwa kila kitabu ninachosoma, akatutukana ngozi nyeusi, kaniboa sana
 
Boss wangu kanilazimisha kusoma vitabu nami sipendi kusoma nikamuomba anilipe kwa kila kitabu ninachosoma, akatutukana ngozi nyeusi, kaniboa sana
Sasa fanya hivi.

Nipe kitabu unachotaka kusoma, nakisoma, nachambua maudhui makuu kisha nakuwasilishia.

Halafu wewe utanilipa mimi.
 
Yule aliyesema tatizo la ajira limepungua.
 
Sasa fanya hivi.

Nipe kitabu unachotaka kusoma, nakisoma, nachambua maudhui makuu kisha nakuwasilishia.

Halafu wewe utanilipa mimi.
Draft lako mwanzoni lilikua zuri ila finishing mbovu
 
Ukitaka kujua kuharibiwa siku kunakuwaje angalia movie inaitwa "unhinged"
 
Boss wangu kanilazimisha kusoma vitabu nami sipendi kusoma nikamuomba anilipe kwa kila kitabu ninachosoma, akatutukana ngozi nyeusi, kaniboa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si huyu mpangaji mwenzangu nakula mm anateseka yeye asbuhi tu anaanza nivuruga
 
Kwakweli sina aliyeniharibia siku ila nina aliyeifanya siku yangu ianze vizuri.

cutelove uishi miaka mingi sana😊
 
Si huyu demu, nimemtumia nauli mimi nimelipia gest mimi, Chakula, na hela nyingine nimpe alafu ananiambia nimwage nje daha kaniboa sana
 
Hawa wanaoimba kwaya sahivi TBC hawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…