Kuna mtu amelewa anatishia bastola

Kuna mtu amelewa anatishia bastola

hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zang mara gafla kuna mtu anatoa bastola.

Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Wee utakuwa mwanaume wa Dar, kaogaa.
 
Lete Habari Inayojitosheleza Anakutishia Chanzo Ni Nini?

Lete Habari Inayojitosheleza Anakutishia Chanzo Ni Nini?

Kama nimemwelewa mtoa mada nikwamba hajatishwa yeye peke yake ila huyo mwenye bastola anatishia watu wote waliopo eneo hilo.

Swali ni je,Kuna sababu yoyote inaweza kutumiwa kumhalalishia mlevi kutishia watu bastola?
 
hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zang mara gafla kuna mtu anatoa bastola.

Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
Utamalizwa na polisi kabla ya huyo mlevi. Kuwa mwangalifu!
 
Back
Top Bottom