Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Si kweliWanawake wa kichaga upendo wao umelanga zaidi kwenye dollar.
unafaa kujengewa sanamu yaani umetisha kwa kweli jamaangu.Hivi win-one ni kweli kwamba wanawake mkisikia pesa visimi vinasimama!
ok.🐒Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula.
Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana chuoni tukajikuta tunatabasamu nikasimama akasimama tukasalimiana tukaulizana majina na namba.
Basi nikawa mwenyeji wake nikampa ABC za chuo na maisha ya mji kasoro bahari, baada ya mwezi mmoja tukaanza kujamiiana😋
Kalikuwa kananipenda sana hakakuwahi kuniomba hela labda nikape mimi.
Nilienjoy sana penzi la mtoto wa kichagga. Najua yuko humu na anaijua hii id😂
Baada ya mimi kumaliza chuo nikaenda Arusha, wakifunga chuo lazima aje kwanza arusha tukae then anaenda Marangu.
Kwasasa sote tunamaisha yetu ila tunawasiliana na kuna elements za upendo bado zinatawala nivile tuna maadili tu.
Amehusika sana kwenye kunifundisha biashara ya hardware. Tumekipa kisogo kilimo tunafanya biashara.
UKITAKA TRUE LOVE OA MCHAGGA.
na ninavyopenda uchafuzi sasa😄😄,,, ukiona violence mahali uniiteHapa niki-comment tutachafua uzi wa mtu, acha nijishikilie tu 😄!
ndo uchafuzi upi hebu fafanua 😀Uchafuzi wa 🗝️see-me au 😋!
yes😎😀My personal liquid love letter to your clit. Where exactly would you like the signature?
Sio vibaya kuhusisha utamaduni na kabila lakini sidhani kama ni sahihi kuhusisha tabia(hisia) na kabila.Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula.
Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana chuoni tukajikuta tunatabasamu nikasimama akasimama tukasalimiana tukaulizana majina na namba.
Basi nikawa mwenyeji wake nikampa ABC za chuo na maisha ya mji kasoro bahari, baada ya mwezi mmoja tukaanza kujamiiana😋
Kalikuwa kananipenda sana hakakuwahi kuniomba hela labda nikape mimi.
Nilienjoy sana penzi la mtoto wa kichagga. Najua yuko humu na anaijua hii id😂
Baada ya mimi kumaliza chuo nikaenda Arusha, wakifunga chuo lazima aje kwanza arusha tukae then anaenda Marangu.
Kwasasa sote tunamaisha yetu ila tunawasiliana na kuna elements za upendo bado zinatawala nivile tuna maadili tu.
Amehusika sana kwenye kunifundisha biashara ya hardware. Tumekipa kisogo kilimo tunafanya biashara.
UKITAKA TRUE LOVE OA MCHAGGA.
leo kazi ipo😀😀Kivumbi leoo🔥!
Tell em it's all bout dollars billionMkuu mpaka leo nimetimiza miaka 70 bado napendwa tu na ma-binti, mashangazi na wamama.