Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.

Screenshot_20240816-133926_X.jpg
 
Hizo rushwa za hivyo zimekaa kama asante , ndio maana sheria zake hazina mabavu.
 
Back
Top Bottom