Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 16, 2024 #1 Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Aug 16, 2024 #2 Hizo rushwa za hivyo zimekaa kama asante , ndio maana sheria zake hazina mabavu.