Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu

puruwanji

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
81
Reaction score
28
Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu... tafadhali
 
Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu
Mm pia mkuu nishahangaika kuitafuta sanaa na nishaomba msaada wa kuwauliza watu sanaa ila jibu sijalipata tusubiri labda tutasaidiwa kwa mtu anaejua
 
Bro, una smartphone, unashindwa kweli kuitumia kuingia google page na kutafuta jibu kwa urahisi kabisa hadi uulize watu kweli?!

Dah.....kweli ujinga wa kujitakia ni mzigo kwa taifa na inabidi tuupige vita
Mzee umejiona mwerevu kweli yaani
 
Hili ndilo zaituni na kwa english inaitwa Canistel au Eggfruit.....unapolila mdomoni feeling yake inafanana kama kula boga au parachichi yenye unga, ila hili ni tamu sana na lina ladha nzuri sana isiyokinaisha .....

Lina utamu sana hata ukipewa mawili moja ule jingine umpelekee mkeo unaweza jikuta umeingiwa na tamaa ukayala yote.......
images%20(2).jpeg
images%20(1).jpeg
images.jpeg
 
Hili ndilo zaituni na kwa english inaitwa Canistel au Eggfruit.....unapolila mdomoni feeling yake inafanana kama kula boga au parachichi yenye unga, ila hili ni tamu sana na lina ladha nzuri sana isiyokinaisha .....

Lina utamu sana hata ukipewa mawili moja ule jingine umpelekee mkeo unaweza jikuta umeingiwa na tamaa ukayala yote.......View attachment 930733View attachment 930734View attachment 930735
Mkuu unapotosha,olive ni zaituni na wala si eggfruit.
 
Mkuu huyu jamaa kanishushua huko juu aisee nijuavyo zaituni sio olive huyo jamaa juu kaweka picha ya zaituni na ww umeweka picha ya olive Period zaituni sio olive na olive sio zaituni
 
Hili ndilo zaituni na kwa english inaitwa Canistel au Eggfruit.....unapolila mdomoni feeling yake inafanana kama kula boga au parachichi yenye unga, ila hili ni tamu sana na lina ladha nzuri sana isiyokinaisha .....

Lina utamu sana hata ukipewa mawili moja ule jingine umpelekee mkeo unaweza jikuta umeingiwa na tamaa ukayala yote.......View attachment 930733View attachment 930734View attachment 930735
Olive kumbe uzijui haya nenda google huko mana uliniita mjinga na kumbe madesa yenyewe huyajui vzr
 
Mkuu huyu jamaa kanishushua huko juu aisee nijuavyo zaituni sio olive huyo jamaa juu kaweka picha ya zaituni na ww umeweka picha ya olive Period zaituni sio olive na olive sio zaituni
Hapana dogo kwa tafsiri sahihi Olive ni Zaituni.Kama huamini google to Olive in swahili itakuonyesha kuwa ni Zaituni. Hayo matunda ambayo ulidecribe na ni yale ambayo mkuu aliweka picha yake hapo juu nikiwa Dar ndo wanayaita zaituni. Lakini si kweli kuwa ni zaituni ile halisi ya olive.
Olive nimeziona mara ya kwanza nilipofika USA na ndipo nilipo kwa miaka mingi sana.
 
Back
Top Bottom