Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu

Hapo ndo nachanganyagwa mimi ndo mana olive najua kama ulivoianisha kwa picha na zaitun najua ni yale ya njano uwiii mkuu nashkur unanielewesha sio jamaa kanitusi kanita mjinga nmemind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kipindi pale manzese darajani walikua wakipanga wanauza kwa mafungu tena bei nzuri tu kuanzia 500...
Inategemea pia na msimu wake, kama upo dar jaribu tembelea masoko kama kariakoo ujaribu kuuliza na udadisi yanakotokea utapata mwanga zaidi...
 
Hapo ndo nachanganyagwa mimi ndo mana olive najua kama ulivoianisha kwa picha na zaitun najua ni yale ya njano uwiii mkuu nashkur unanielewesha sio jamaa kanitusi kanita mjinga nmemind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana dogo usimind wala nini,tunatotofautiana tu namna ya kutoa elimu. Nafikiri mkuu alikuwa na nia njema kabisa.
Basi nafikiri sasa ushafahamu kuwa tafsiri halisi ya olive ni zaituni na wala si yale matunda yenye unga unga ndani.
 
Yaan mtu ananielekeza kwa kuninanga cjui ili iniume nimechelewa kujua dhumun lake cjajua ni nn hasa
 
Ooohh ok nashkuru sanaa mkuu nilijua na hapa tanzania tunalima pia
Pamoja mkuu. Ila nafahamu habari ya Olive tree plantation iliongelewa nafikiri 2013 wakati waziri akiwa Malima,nafikiri walikuwa wanafanya uchunguzi kuona kama mikoa yenye ukame kama Dodod/Singida kuna uwezekano wa kuanzisha kilimo hicho.
Sidhani kama hilo lilishafanyika ila kwa kifupi mkuu Olive kwa kiwango cha biashara huwezi kupata Tanzania kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…