Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo na hata akitaka akimaliza hiyo ya pili akaongeze degree ya tatu ya kitu kingine anaruhusiwa , anaweza kuwa hata na degree nne au zaidi tofauti kulingana na matakwa yake, ni uchumi wake tuu kama utamruhusuNaombeni kuuliza hapa kuna nduguu angu anahitimu chuo kikuu kwa kozi ya bachelor of education in physics,
Je anaweza kutumia cheti cha f4 au f6 kuweza kuanza kozi nyingine mbali na hiyo
Kweli kabixa kaka,ila labda nahisi anataka kuongeza wigoHiyo course kazi zake zipo nje nje . Kazi ya uwalimu siyo mbaya issue ni mind set tu.
Na vipi kama ataajiliwa serikalini anaweza kufundisha uku akwa anasomaNdiyo na hata akitaka akimaliza hiyo ya pili akaongeze degree ya tatu ya kitu kingine anaruhusiwa , anaweza kuwa hata na degree nne au zaidi tofauti kulingana na matakwa yake, ni uchumi wake tuu kama utamruhusu
Apate kazi kwanza. Afanye kwa muda kisha akiwa ndani humo ndo atajua nn kinahitajika ndo akasome hicho. Masters kazi yake ni ku cement kile ukichosoma undergraduate.Kweli kabixa kaka,ila labda nahisi anataka kuongeza wigo
jaelewa kaka,nifafanulie kidogoApate kazi kwanza. Afanye kwa muda kisha akiwa ndani humo ndo atajua nn kinahitajika ndo akasome hicho. Masters kazi yake ni ku cement kile ukichosoma undergraduate.
Tumeelewana hapo???