dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
JAmaaa kwa sasa ktk mtandao fln ndie anatumika kuwavua watu nguo na kuwadhalilisha kwa kucheza na ARTIFICIAL INTELEGENCE
Sasa hv kila binti au mtu anaogopa kupost picha yake kwani wapwa watamuita mwana grok na kisha kumuhitaji kubadilisha pich yako kwa jinsi anavyo taka yeye anaweza kukuvalisha bikini, chupi, au kuonesha maungo yako jins yalivyo kaa ni hatari Kwa kweli
Mwanzo nilikuwa nimetia dharau ya uwepo wa akili bandia Kumbe hili jambo ni pana sana na kina adhari kubwa kwa JAmiii
Sikujuwa